cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Unatokea nchi jirani na huko au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona kama umepunguza sauti😂, huna kosa we ongeza tu volumeTwende taratibu kwanza, kwa nini unataka nipigwe ban ?
Sawa,Nilikutapeli Nini?Humu jf hamna wanaume wote matapeli tu ukiwemo na ww
Kwa tahadhari na ushauri wangu mwanangu. Subiri. Ukiikwaa miwaya, naomba uje hapa unishukuru.Nikukumbuke kwa kipi wewe😂
Utapeli wangu ni nini sasaWewe mzabzab tapeli😂🙌
Kaka eeh 😅pIcha iko wapi?, Video Ukitembea kugeuka nyuma ..
Niko na kaka zangu hapa mmoja mpemba Binadamu Mtakatifu Andazi , mwingine msambaa Half american na mwingine mzaramo Gily Gru
Yeye hataki wakurya tu kwahyo kula chuma hicho Ms R si alidhani amekukomoaMi ni mjaluo wa sirari
Hakuna mnunua mashoga humuHamna mtu wa maana humu😆
Haha mzaramo kutoka Rombo 😀pIcha iko wapi?, Video Ukitembea kugeuka nyuma ..
Niko na kaka zangu hapa mmoja mpemba Binadamu Mtakatifu Andazi , mwingine msambaa Half american na mwingine mzaramo Gily Gru
Unanuka mdomo, makwapa na papuchi? Si kama nakudharau, lahasha....wanaume wa Kanda ya Ziwa wanapenda sana wanawake wanaonuka hizo sehemu sijuwi kwanini.Leo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu
Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani ..kila nikimuuliza mkaka kabila anasema mkurya
Hili tatizo litakuwa wapi? Kwani wakaka wa kabila lingine hamnioni tu (wasukuma .wazaramo ...wachaga ...nyakyusa ....wahaya mko wapi)?au nyie ndo mtakuja kunioa huko mbeleni nipoteze saizi muda na wakurya
Au nina taste za wakurya TU ndugu zangu!!!???
Nataka kubadilisha taste nyingine
Kwenye list ya wakaka nimedate nao ni wakurya tupu!
Wakurya mniache !!!!!
Very good, hili nalo likatizamwe isee!Mimi ni moja ya hayo makabila unayopenda kubadirishia, natokana na kabila furani ambalo hairuhusiwi wasichana kupewa suna, suna hupewa wavulana tu.
Lakini ili niedelee na hoja yangu inayofuata ni vema pia tujue unatokana na kabila gani bi dada.
Kuna jambo unalipromote kisaikolojia hapa.Leo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu
Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani ..kila nikimuuliza mkaka kabila anasema mkurya
Hili tatizo litakuwa wapi? Kwani wakaka wa kabila lingine hamnioni tu (wasukuma .wazaramo ...wachaga ...nyakyusa ....wahaya mko wapi)?au nyie ndo mtakuja kunioa huko mbeleni nipoteze saizi muda na wakurya
Au nina taste za wakurya TU ndugu zangu!!!???
Nataka kubadilisha taste nyingine
Kwenye list ya wakaka nimedate nao ni wakurya tupu!
Wakurya mniache !!!!!
Umemaliza !!Kuna jambo unalipromote kisaikolojia hapa.
Watu kabila flani huwa hawabebi sifa zenye kufanana kwa sababu kila mtu kabeba umbile, tabia pamoja na haiba yake.
Kutaja kabila fulani una maana yako fiche ambayo yaweza kuwa ni njia ya kuexpress furaha yako kutokana na mtu wa kabila hilo unayempenda sana ama aliyewahi kukufurahisha na sasa umemiss.
Kusema maneno kinyume huwa ni sanaa simulizi inayotumiwa na werevu kumpima akili msimuliwaji.
Nami kuna wakati niliitumia sana sanaa hii kumuelezea mtu(mwanamke) ninayempenda, kwakumponda na kumpa sifa mbaya ili kupima upepo wa mrejesho!
Siku moja nilimsimulia babu yangu kuhusu girl friend wangu kinyume na uhalisia, sasa majibu yake hadi nikagundua kama kuwa naye kanigundua: ... 'Aaargh babu sichana lenyewe libaaayah, halifai hata kuongozana nalo barabarani'...
Nilimgundua babu akiyasema maneno hayo huku akining'ong'a!
Tulipokutanisha macho tukabaki tunacheka tuu.
Sasa ndiyo wewe mkuu, hauwezi kutuletea habari kama hizo tukakubaliana na wewe, unatula kisogo bhana, una lako jambo wewe.