Natongozwa sana na wakaka wa Kikurya. Tatizo litakuwa wapi?

Kaa nao mbali,nao watakua mbali nawe,ukiwa karibu mharifu ni rahisi nawe kuwa mharifu.
 
Sijakuelewa kuni-quote labda pengine ulikosea. Ila kama unataka ufafanuzi ni kwamba nimesema wanaume wengi wa kanda ya Ziwa wanapenda wanawake wanaonuka shombo. Nimeishi huko naelewa na ninawajuwa vizuri wanaume wa hiyo sehemu.
 
Ukiangalia post #139 utaona kuwa iliingiza 'nukuu double'.
Wewe niliishia kukuuliza kama uliishi huko Usukumani, maana ulichosema ni cha kweli.
Ila maneno ya chini yaliyofuata nilikuwa namjibu member mmoja nadhani ni mwanamke kutokana na hoja yake.
 
Unanuka mdomo, makwapa na papuchi? Si kama nakudharau, lahasha....wanaume wa Kanda ya Ziwa wanapenda sana wanawake wanaonuka hizo sehemu sijuwi kwanini.
Duuu, umeua🤣
Na ban umepata🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…