ona wanavyomwabudu ona wanavyomsujudu,hata shetani na mawakala wake wanaweza kufanya miujiza hapo wajinga wasipokaa sawa wanazolewa.Amen
Angalia yote ni mapya na kama yametokana na mti mmoja why?Wote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
View attachment 2387086
Yule ni tapeli na ndo maana hao wanaosema wameponywa wengi wao ni kutoka mikoaniRafiki yangu amepata ajari ya uti wa mgongo ameparalaiz mwaka wa tatu huu sasa yu kitandani amedhohofu mwili kwa msongo wa mawazo,
mwaka jana nduguze walimpeleka kwa mwamposa ila mim nilijua yule mzee mpigaji tu wasipoteze nauli zao ila nikavunga nisije kuonekana mim mchawi.
walienda akapigwa maombi akaambiwa akasikilizie home, ni miezi sita sasa tangu aombewe hakuna mabadiriko yoyote,
WANATENGENEZA USHUHUDA HAWA. FEKI FEKI FEKI
Zile fimbo huwa zinafananaAngalia yote ni mapya na kama yametokana na mti mmoja why?
yesu aliwambia. wanafunzi wake msifurahi kwa kuwa mmetoa pepo bali furahini kwa kuwa majina yenu yameandikwa mbinguni,Lakini hata yesu alikataliwa ko binafsi sisemi chochote, nisije kukufuru, siku zote makusudi ya mungu yafanyike ila Kama ni kweli watu wanapona UBAYA WAKE ni upi?
Angewafufua angalauMimi bado ninauchungu na waliokufa Pale Moshi wakikanyagana kugombania kukanyaga mafuta ya upako kama upako ulikuwepo pale INAKUWAJE wafariki?
Haya mwingine hapo Kenya waumini wamefunga Kwa lazima mpaka wamefariki hawa Mitume wa uongo hivi kwanini NAO wasipate adhabu ya Mungu mapema?
shetani akimtoa pepo Basi ufalme wake umefitinika.....maneno ya yesu hayapingwiiiyesu aliwambia. wanafunzi wake msifurahi kwa kuwa mmetoa pepo bali furahini kwa kuwa majina yenu yameandikwa mbinguni,
maana ake kutoa pepo sio kigezo
Magongo mbona kama yote mapya na yanafananaWote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
View attachment 2387086
Mbona wote wana afya njema?Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
Kwa kweli huyu hajui maana ya kiwete. Sijawahi kuona kiwete yeyote ameponywa na hawa wanamazingaombwe!Wewe ni mlemavu WA ubongo lakini hujaponywa,tangu lini kiwete anatumia magongo,matepeli WA makanisani wanaandaa script na kugawa magongo na kuyakusanya,
Huwa wanachagua yale yanayowezekana kuigiza tu. Viwete wa kweli tangu kuzaliwa wapo tele hakuna aliyeponywa. Uhuni tu.Basi ina maana huyu mwamposanhawaoni wale watesekao kwa magonjwa ya sukari cancer ,figo ,athritis au vijana na nguvu za kiume akawaponya? Why wanatafuta aina ya magonjwa yanayoweza kuigizwa?
Pole sanaRafiki yangu amepata ajari ya uti wa mgongo ameparalaiz mwaka wa tatu huu sasa yu kitandani amedhohofu mwili kwa msongo wa mawazo,
mwaka jana nduguze walimpeleka kwa mwamposa ila mim nilijua yule mzee mpigaji tu wasipoteze nauli zao ila nikavunga nisije kuonekana mim mchawi.
walienda akapigwa maombi akaambiwa akasikilizie home, ni miezi sita sasa tangu aombewe hakuna mabadiriko yoyote,
WANATENGENEZA USHUHUDA HAWA. FEKI FEKI FEKI