Mimi bado ninauchungu na waliokufa Pale Moshi wakikanyagana kugombania kukanyaga mafuta ya upako kama upako ulikuwepo pale INAKUWAJE wafariki?
Haya mwingine hapo Kenya waumini wamefunga Kwa lazima mpaka wamefariki hawa Mitume wa uongo hivi kwanini NAO wasipate adhabu ya Mungu mapema?