Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini


Barikiwa,ni imani tu ndio msingi.
 
Ungeweka video live tungekuelewa! Sasa picha kama hizo,zitatufanya tutilie mashaka ushuhuda wako! Pili hata shetani anaweza kufanya miujiza.
 
Kwa yule ninaemjua ni mlemavu akipona nitajua ni kweli, sio hawa wa kuletwa. Jamaa alikuwa anawapa watu ndevu za ajabu, na kuwapa mafunzo maalumu ili washuhudie walikuwa misukule na wamefufuka. Ni maujanja tu ya kupiga pesa kimazingira.
Hahaaa ndevu za ajabu et
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…