Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Mkuu kumbuka hata yule mama aliyetokwa na damu miaka 12 kwenye injili ya Luka 8 :43 aliamini kwamba akishika vazi la yesu tu atapona na kweli alposhika tu alipona. Na yesu wakati ule wengi walikua hawamwamini walikua na mioyo migumu Hebu jiulize ukifungua tv arise and shine watu wanashuhudia kila siku na shuhuda zingine watu wanakuja kutoka nje ya nchi, Je ni kuulize swali moja ni watu gani utaweza kuwapanga washuhudie uwongo siku zote, miezi yote miaka yote watu wa dini zote? Ukweli ni kwamba ni vigumu kudanganganya watu siku zote tena huyo utakayemhonga ashuhudie uwongo leo kesho atatoboa siri kwamba alihongwa aseme uwongo. Mimi niko Arusha sijawahi kwenda kawe naamini mwamposa ni mtumshi wa Mungu na ile miujiza unayoiona ni kweli inatendeka na ni Mungu anatenda kupitia yeye (USHUHUDA WANGU) Siku moja nilikua nasikiliza kile kipindi cha saa tatu usiku cha operation komboa familia alipofika muda wa kuombea maji na mafuta niliinua maji yangu niliyochota bombani alivyoombea nilienda kumwaga kwenye biashara yangu ya mashine ya kusaga kesho yake asubuhi nilikuta ndege watatu wamekufa na tangu siku hiyo biashara imebadilika kabla nilikua naleta mahindi gunia 10 nasaga nauza unga mahindi yanaisha faida sioni lakini tangu siku hiyo faida inaonekana.
 
Miujiza inatendeka sana
 
Back
Top Bottom