zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Wote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
View attachment 2387086
Afu yamefanana [emoji81][emoji81]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
View attachment 2387086
Mbona watuonesha magongo tu?
Na ukitazama kwa makini ni kama magongo yote ni prototype ile ile, as if yametoka kwa seremala mmoja
Ukwel upo wapi? Picha s umeonMuongo
Acha utapeli viziwi gani wameongea? Au kipofu gani kaona? Unadhani ni vyepesi kuongea.VIPOFU WAMEONA, VIWETE WAMETEMBEA, VIZIWI WAMEONGEA
Mzee magongo s umeona hayo,Acha utapeli viziwi gani wameongea? Au kipofu gani kaona? Unadhani ni vyepesi kuongea.
I swear to God mtaani kusingekuwa na vilema.Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.
Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.
Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.
View attachment 2387081
BIla shakaI swear to God mtaani kusingekuwa na vilema.
Angalia ushuhuda hapa chni wwTapeli huyo devil worshiper mtupu Hana lolote
Miujiza inatendeka sanaMkuu kumbuka hata yule mama aliyetokwa na damu miaka 12 kwenye injili ya Luka 8 :43 aliamini kwamba akishika vazi la yesu tu atapona na kweli alposhika tu alipona. Na yesu wakati ule wengi walikua hawamwamini walikua na mioyo migumu Hebu jiulize ukifungua tv arise and shine watu wanashuhudia kila siku na shuhuda zingine watu wanakuja kutoka nje ya nchi, Je ni kuulize swali moja ni watu gani utaweza kuwapanga washuhudie uwongo siku zote, miezi yote miaka yote watu wa dini zote? Ukweli ni kwamba ni vigumu kudanganganya watu siku zote tena huyo utakayemhonga ashuhudie uwongo leo kesho atatoboa siri kwamba alihongwa aseme uwongo. Mimi niko Arusha sijawahi kwenda kawe naamini mwamposa ni mtumshi wa Mungu na ile miujiza unayoiona ni kweli inatendeka na ni Mungu anatenda kupitia yeye (USHUHUDA WANGU) Siku moja nilikua nasikiliza kile kipindi cha saa tatu usiku cha operation komboa familia alipofika muda wa kuombea maji na mafuta niliinua maji yangu niliyochota bombani alivyoombea nilienda kumwaga kwenye biashara yangu ya mashine ya kusaga kesho yake asubuhi nilikuta ndege watatu wamekufa na tangu siku hiyo biashara imebadilika kabla nilikua naleta mahindi gunia 10 nasaga nauza unga mahindi yanaisha faida sioni lakini tangu siku hiyo faida inaonekana.
Alafu yamefananaWote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
View attachment 2387086
HahahAlafu yamefanana
Na ni mapya
Wote hao wamelipwa? Magongo zaidi ya 100,
View attachment 2387086
Si sahhMagongo yote ni mapya
Pumbavu kabisa. Ndio nyie mtakuja kufa kama wapumbavu wenzenu waliokufa kwa Kibwetere au waliokufa kwa MackenzieSi sahh
Mwamposa ni tapeli ni mjinga tu ndiye atakayemwamini huyo mtu.
Mwamposa naye nguvu zake zinakaribia kuisha. Hana zaidi ya miaka mitatu.