Word
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 1,356
- 3,235
Hahaha hahaha hahaha
Ulinishinda tabiaaaa
hahahahah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahaha hahaha
Ulinishinda tabiaaaa
Ooh. Niliadimika kidogo siku mbili tatu hizi. Ila nimerudi Dada jirani.Hahaha hahaha
Jirani kakako huwa anakutafuta sana hukooo!
Mekumiss pia jirani, habari za huko duniani eti!! Mwaka ndo tumeuanza jana jamaniii, leo siku ya pili miayo kama yotee
Hahahaa. Nimeshafichuliwa Kaka.sasa utanionaje wakati umefichwa huko dada
Sikuamini ujuehahahahah!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mbona nipo sema nilikua kwenye I'd nyingine.. [emoji23][emoji23] kiddn.. Heri ya mwaka Mpya wadogo zangu warembo Shunie Shadeeya Sakayo mtundu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa. Nimeshafichuliwa Kaka.
Niaje lakini?
Karibu tena jirani...Ooh. Niliadimika kidogo siku mbili tatu hizi. Ila nimerudi Dada jirani.
Yaani hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuuona salama. Hiyo miayo tupambane nayo tu naamini kadri siku zinavyosonga basi na yenyewe ndio itakwisha.
Sikuamini ujue
Sikutoa hata like
Wachaaaaa.
Na kwako pia Kaka yetu. Vp uliuona salama?
Hahaha hahahaSasa mi sikuwa na upande, na wenyewe kwa akili zao zote timamu wameamua watupe yaliyo sirini sasa tufanyeje honestly?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23] nyie ndo mnachochea. KuwanyamazishaHahaha hahaha
Niliona ukiongeza kuni moto uwake vizuri!! Nikasema huyu kaka hapana aiseee!
Kumbuka tu mama.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hahaha hahaha
Mie sikutia hata nukta paleee...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23] nyie ndo mnachochea. KuwanyamazishaKumbuka tu mama.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau yule rafiki yako uliyemtumia barua mpaka leo haijafika kule Songea na Kaka Word akasema yupo huko huko🤣🤣🤣Hahaha hahaha hahaha
Umekumbuka wapi eti...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesahau yule rafiki yako uliyemtumia barua mpaka leo haijafika kule Songea. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaa. Ndioo eti. 🙈🙈 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu nikaja kukutana naye JF eeehhhh!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa. Ndioo eti. [emoji85][emoji85] [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ndo sasa hata nyie ambao hamkutia hata nukta mlichochea indirect. [emoji2][emoji2]Mie sikutia hata nukta paleee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo sasa hata nyie ambao hamkutia hata nukta mlichochea indirect. [emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app