Natuma salam na wewe njoo utume zako

Natuma salam na wewe njoo utume zako

Jirani ndio umeandikaje?

Nimekumiss jamaani. Habari ya Mwaka Mpya?
Hahaha hahaha
Jirani kakako huwa anakutafuta sana hukooo!

Mekumiss pia jirani, habari za huko duniani eti!! Mwaka ndo tumeuanza jana jamaniii, leo siku ya pili miayo kama yotee
 
Salamu zangu ziwafikie job seekers wote...Mwenyezi Mungu atusaidie huu mwaka ukawe WA mafanikio kwetu🙏🙏
 
ahahha wapiiii wewe kwenye mashenzini ndo unanisemesha kwenye ya maana kaka yenu ni noma., unakua unajiuiza mara zote ni yeye kweli
Hahaha hahaha hahaha
Aibu naona mimiii.... Sio kwa uchochezi uleee
 
Hahahahaha

Siwezi fanya hivyo bhana,
Mi sio gudume....
Nilivyokuona nikaona nikustue....

Heri ya mwaka mpya,
Natuma salamu pia.
Asante sana.

Nami nakutumia salamu zangu za dhati zikufikie wewe kwa uthubutu wako uliouonyesha.
Pia napenda nimtumie salamu mwezeshaji wangu samuel faraj aliyeniwezesha kunitumia nauli ya kuja huku Dom na kula njiani.
Ni wanaume wachache sana wenye moyo huo humu Jf.
Shukrani mkuu.

General Mangi leo usiku tuonane.
Kesho napandisha Mpwapwa.

Ujumbe:
Nimemiss kuku choma wa Rainbow.
Kama vp twen'zetu mazeee
 
Hahaha hahaha hahaha
Aibu naona mimiii.... Sio kwa uchochezi uleee

😀😀😀Anhaaa umeniona sasa nilivyokua sina chembe ya unafki, Kwanini watu waishi kwa kuogopana JF waambiane tu .Huyo ndo blaza wenu sasa
 
Back
Top Bottom