Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaa. Sa si kazi kubwa sana utajipa hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Sa si kazi kubwa sana utajipa hiyo.
Wambea, wanafiki wote unawapa likes.Leo nina mzuka wa kugawa likes mwanzo mwishooo,
Whoever nitakae ona comment yake, A girl, A boy, A staight Men, A straight women, A gay or A lesbian, A witch as long as your not a bot.
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy new year babe na wewe ungekuja na I'd yako ya mwanzo jamaniNimesoma mpaka hapa hata mmoja dah kweli ukiwa kapuku jamiiforum utapata tabu sana [emoji17][emoji17][emoji17]
HahahahahaSasa mbona wamwaga mchele hadharani?
Hahaha hahaha hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha hahahaJirani ndio umeandikaje?
Nimekumiss jamaani. Habari ya Mwaka Mpya?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mbona nipo sema nilikua kwenye I'd nyingine.. [emoji23][emoji23] kiddn.. Heri ya mwaka Mpya wadogo zangu warembo Shunie Shadeeya Sakayo mtundu.
Hahaha hahaha hahaha[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mbona nipo sema nilikua kwenye I'd nyingine.. [emoji23][emoji23] kiddn.. Heri ya mwaka Mpya wadogo zangu warembo Shunie Shadeeya Sakayo mtundu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye mambo ya maana au mashenzini?Hahaha hahaha hahaha
Kuna mahali nakukutaga na hii ID napita kimya kimya tuu....
Yangekuwa ya maana ningekusemesha ujueee.... Ila mmmhkwenye mambo ya maana au mashenzini?
ahahha wapiiii wewe kwenye mashenzini ndo unanisemesha kwenye ya maana kaka yenu ni noma., unakua unajiuiza mara zote ni yeye kweliYangekuwa ya maana ningekusemesha ujueee.... Ila mmmh
Sister I'd gani sijawahi kuwa na I'd zaidi ya Hawachi.Happy new year babe na wewe ungekuja na I'd yako ya mwanzo jamani
Hahaha hahaha hahahaahahha wapiiii wewe kwenye mashenzini ndo unanisemesha kwenye ya maana kaka yenu ni noma., unakua unajiuiza mara zote ni yeye kweli
Asante sana.Hahahahaha
Siwezi fanya hivyo bhana,
Mi sio gudume....
Nilivyokuona nikaona nikustue....
Heri ya mwaka mpya,
Natuma salamu pia.
Hahaha hahaha hahaha
Aibu naona mimiii.... Sio kwa uchochezi uleee
Hahaha hahaha hahaha😀😀😀Anhaaa umeniona sasa nilivyokua sina chembe ya unafki, Kwanini watu waishi kwa kuogopana JF waambiane tu .Huyo ndo blaza wenu sasa
Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuuona salama.
sasa utanionaje wakati umefichwa huko dadaNi jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuuona salama.
Na mimi sijamuona ujue toka mwaka jana. 😜😜😜