Natuma salam na wewe njoo utume zako

Hahaha hahaha
Jirani kakako huwa anakutafuta sana hukooo!

Mekumiss pia jirani, habari za huko duniani eti!! Mwaka ndo tumeuanza jana jamaniii, leo siku ya pili miayo kama yotee
Ooh. Niliadimika kidogo siku mbili tatu hizi. Ila nimerudi Dada jirani.

Yaani hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuuona salama. Hiyo miayo tupambane nayo tu naamini kadri siku zinavyosonga basi na yenyewe ndio itakwisha.
 
Karibu tena jirani...

Kweli Mungu ni mwema, miayo itaisha tuu mradi uzima upo my dear
 
Sasa mi sikuwa na upande, na wenyewe kwa akili zao zote timamu wameamua watupe yaliyo sirini sasa tufanyeje honestly?
Hahaha hahaha
Niliona ukiongeza kuni moto uwake vizuri!! Nikasema huyu kaka hapana aiseee!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu nikaja kukutana naye JF eeehhhh!!!
Hahahaa. Ndioo eti. πŸ™ˆπŸ™ˆ πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…