Natuma salam na wewe njoo utume zako

Hahaha
MO11 napokea salamu zako kwa mikono miwili mkuu.

Dada yangu kapotea nyumbani simwoni. Aidha nami nichukue wasaa huu kukutakia heri ya mwaka mpya kaka mkubwa.
 
Shemeji....shukrani kwa salamu...

Sema sijajua zinatokea wapi!
 
Asante kipenzi changu na kwako pia
 
nisamehe sana bby, nitapaka hii tabia rangi, mambo yalibanana lakini sio kigezo cha kunyamaza hivi. nisamehe tu bbylove
Sababu ni mwaka mpya acha nikusamehe love! Ila tutafutanee unilipeee mbuzii kilo moja tuu love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…