jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
haya mashtaka tutamalizana bhana mdogo angu..kuwa mpoleDada ilikuwaje ukanitenga msimu wa kuhesabiwaa!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya mashtaka tutamalizana bhana mdogo angu..kuwa mpoleDada ilikuwaje ukanitenga msimu wa kuhesabiwaa!!??
HahahaHeri ya mwaka mpya wana jamii watu wa maana na mitakataka yote
salam zangu za kwanza ziende kwa dada yangu Khantwe
ujumbe hata kama hujanialika mimi nitakula tu ubwabwa kwa jirani
salam zangu za pili ziende kwa espy ujumbe we nidanganye tu kama utanipenda maana sitaki kuambiwa ukweli
salam zangu za tatu zikufuate Thad ujumbe wewe tupange tu hata tukiwa kumi mimi sijalii sina habari leo nitakula wali na kachumbari
salam zangu za nne ziende kwa Mafikizolo we nilikwambia kama utanipenda vyote vilivyobaki nitacover
asilimia sabini ya mwili wangu umejaa maji asilimia 30 nakupenda wewe
salam zangu za tano ziende kwa Madame B ujumbe dodoma ukumbuke kinga kama mimi navyozikumbuka
salam zangu za sita ziende kwa Sweet16 ujumbe hata kwa pm nikumbuke japo najua namba yangu umefuta na ukaiblock
salam zangu za saba ziende kwa Sky Eclat ujumbe eti kisa babu
salam zangu za nane ziende kwa anayejiita Daby ahsante kwa kunifitinisha na dadaako poa poa tu
salam za tisa ziende kwa Evelyn Salt ujumbe we unajua deep and down kwamba nilijiunga ili nikupate ww
salamu zangu za kumi ziende kwa mpwa wangu Shunie ujumbe kazi yako niliiona na naikumbuka upo kama pele ujumbe uwe unawahi kulala ukue
salam zangu za kumi na moja ziende kwako ww
ujumbe tusiogope kufa mwaka huu kwani kufa kama kulala tu na makaburi kama matuta
Mmmmh
Shemeji....shukrani kwa salamu...Heri ya mwaka mpya wapendwa wote wa JF,
Salamu zangu za kwanza namtumia Maxi, ujumbe Mungu ambariki kwa kugundua hii website ambayo kila kukicha inanipa marafiki wapya na wazuri,
Salamu zangu za pili zimfikie STUNTER , Kichwa Kichafu , Thad , Sakayo , Shunie , Daby , Mr Miller Demiss Nleterewa Nganengo Neybright Valentina Joseverest sumbai Money Penny Asprin Heaven on Earth Heaven Sent valuablecock samalanga bigmind chinekeeee Vladimirovich Putin tamuuuuu Mwifwa na wale wajumbe wote wa USIKU WA MANANE....
ujumbe: Tumevuka kwa neema tu wala si kwa nguvu zetu na kwa hiyo tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa mema na fadhili zake zote.
homeland shemeji akeShemeji....shukrani kwa salamu...
Sema sijajua zinatokea wapi!
Kwakweli mm namuelewa sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mumwelewe tuHivi inaweza kua Ni bichwa lile korofi? Ikibainika mtatafuta kaka mwingine. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]Waliamua wenyewe basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naanzaje kuwa mpole eti...haya mashtaka tutamalizana bhana mdogo angu..kuwa mpole
Mmu uko yupo busy na mbebisho ikabidi tu nijitambulishe mwenyewe kwa wifi nikamwambia mm wifi yako na tupo watatu nikawatajaWapi huko eti
nisamehe sana bby, nitapaka hii tabia rangi, mambo yalibanana lakini sio kigezo cha kunyamaza hivi. nisamehe tu bbyloveNaanzaje kuwa mpole eti...
Dada mie umeniumiza sanaaaaa
Khaaaa
Endelea kuchochea tuuKwakweli mm namuelewa sanaaa
Heri ya mwaka mpya wapendwa wote wa JF,
Salamu zangu za kwanza namtumia Maxi, ujumbe Mungu ambariki kwa kugundua hii website ambayo kila kukicha inanipa marafiki wapya na wazuri,
Salamu zangu za pili zimfikie STUNTER , Kichwa Kichafu , Thad , Sakayo , Shunie , Daby , Mr Miller Demiss Nleterewa Nganengo Neybright Valentina Joseverest sumbai Money Penny Asprin Heaven on Earth Heaven Sent valuablecock samalanga bigmind chinekeeee Vladimirovich Putin tamuuuuu Mwifwa na wale wajumbe wote wa USIKU WA MANANE....
ujumbe: Tumevuka kwa neema tu wala si kwa nguvu zetu na kwa hiyo tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa mema na fadhili zake zote.
AiseeeMmu uko yupo busy na mbebisho ikabidi tu nijitambulishe mwenyewe kwa with nikamwambia mm wifi yako na tupo watatu nikawataja
Hahahhahah ila mm sio mchochezi kama yeyeEndelea kuchochea tuu
asante hunAsante kipenzi changu na kwako pia
Sababu ni mwaka mpya acha nikusamehe love! Ila tutafutanee unilipeee mbuzii kilo moja tuu lovenisamehe sana bby, nitapaka hii tabia rangi, mambo yalibanana lakini sio kigezo cha kunyamaza hivi. nisamehe tu bbylove
Aiseee
Na wewe huwa huchelewii
Kwani mtu ako na mibichwa mingapiiNimeuliza tu mm jamani
nakubali masharti yote, asante kwa moyo wa kunisameheSababu ni mwaka mpya acha nikusamehe love! Ila tutafutanee unilipeee mbuzii kilo moja tuu love
Hahaha hahaha hahahaNaanzaje kuchelewa kaka yupo busy na kubebishwa jamani