Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikukosea kukuacha japo bado kamoyo kanauma, sio kwa list hiyo🙆🙆🙆Enhee nakusubiri
mbona kuguna hivyo tatizo ni nn ?
miss u too
Hapana, kamoyo kangu kadogo.list isikuvunje moyo kama wako ni wako tu wengine watapigwa chimi
Yaani bado nawaza adhabu ya kumpa.Kumweka espy wa pili kwenye huo mtiririko wako wa salaam ni kumkosea adabu![emoji4][emoji4][emoji4]
Asante Mr, Miller...ilikuwa nzr na hadi sasa ni nzr
thanks my mke mwenza nawe piaSalamu zangu nazituma kwa wake wenzangu espy Thad Neybright miss chagga ladyfurahia Mzigua90
Ujumbe, mwaka 2019 sitaki kushea na mtu
Siwezi kuwasahau wakorea wenzangu Damushin Nifah @animas EMPTY na wengine hebu piteni na huku kidogo
Happy New Year nawapenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
miss u more mke mwenza .. mwa mwaa mpe hi mume
thanks my mke mwenza nawe pia
Umesahau love
Sidhani au ulinipa salamu nikiwa nimechokaUmesahau love
Itakuwa loveSidhani au ulinipa salamu nikiwa nimechoka
Maana nishajiandaa kuja nimenunaItakuwa love
Acha hizo bwana ujue nimekumissMaana nishajiandaa kuja nimenuna
Nakaribia nyumbani, I miss you tooAcha hizo bwana ujue nimekumiss
Chifu kumtaja Evelyn Salt katika list yako hii nimepata ghadabu ya juu mno. Kiukweli namsabahi everlyn popote alipo kuanzia tarehe ya meseji yangu hii.nitumie hata mimi basi
Aiiii mamaaa nakufaaa fireeeChifu kumtaja Evelyn Salt katika list yako hii nimepata ghadabu ya juu mno. Kiukweli namsabahi everlyn popote alipo kuanzia tarehe ya meseji yangu hii.