Asante Sana na wewe pisPia naomba niwasalimie Shadeeya, Beef Lasagna, Hajar, Ambiele Kiviele, King Kong III, Mzigua90, Ngoda95, Jackline Bahath
Ujumbe: Nawapenda sana na niwatakie mwaka mpya mwema wa 2019
Asante kwa salamu zako🙏🙏Thad nakutumia salamu, ujumbe uache kuniomba pesa mwaka huu
@bdabe bbade nakutumia salamu, ujumbe thank u for being a great friend to me ,even though i never seen your face
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka nijiue eti ? Kwa jinsi navokupenda mpaka JF nzima wanajua. Mi watanionaje wakuu wenzanguAsante kwa salamu zako[emoji120][emoji120]
Ujumbe: mwaka mpya mambo mapya, nimepata bwana mpya uache kunifatafata[emoji6]
Amiin mdogo wangu
Love you more pops. Happy New yearespy mkao uliokaa tukampata Douta naomba tuutumie 2019.
Heaven Sent Unajua vile nakupenda.
gorgeousmimi Missing you rafiki
Khantwe Udangaji wako ndo uwa unanipa hasira zaidi ya kupambana..Usiache
Valentina Jirani..Hatujauaga mwaka 2018 wala kuukaribisha 2019..Tusiwe wazembe kiasi hicho
Mzigua90 Japo foleni imekuwa kubwa ila unajua penyewe tumetoka.
Evelyn Salt Zawadi uliyoniahidi kunipatia ukimaliza form4 hadi leo kimya mpendwa..Sijui unajifelisha usimalize
BADILI TABIA 2019 usijifiche sana mpendwa..Hata kwenye kwaya sikuoni
Roger Sterling Heri ya mwaka mpya bro
cute b 2019 isipite bila ndoa..Ikibidi mtolee jamaa mahari umuoe kama anazingua..cc sumbai
Thanks a lot Madame B kwa Salamu za mwaka mpya,Wishin' you the same!! Malengo yako uliyopanga kufanya yatimie,Inshallah!!Pia naomba niwasalimie Shadeeya, Beef Lasagna, Hajar, Ambiele Kiviele, King Kong III, Mzigua90, Ngoda95, Jackline Bahath
Ujumbe: Nawapenda sana na niwatakie mwaka mpya mwema wa 2019
Asante bro, mwaka 2019 ukawa mwema kwako pia[emoji120][emoji120]Samboko hivi Hajar yupo wapi?? Happy new year to you brother.
Kiongozi Mr Miller salam nyingi kwako
Mkuu wa mashemeji espy heri ya mwaka mpya.
Sakayo my sister Mzigua90 api neu yea
dark angel
My sister Khantwe
Class mate Daby happy new year
My blood jje's ur missed soo
Mzee kijana Asprin na mtaalam wangu Sky Eclat
MO11 thanks kwa kuanzisha uzi huu. Ila its enough uache kumchezea dadashemej espy
My best Shunie much love to you.
Madame S
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu nimewatumia wake wenzangu tu na wengine hao sio wanachitchat[emoji23][emoji23]Siamini nachokiona! Mamdogo sipo kwny list
Be Humble is free of charge [emoji873]
Aamiiiin kaka yangu.Thanks a lot Madame B kwa Salamu za mwaka mpya,Wishin' you the same!! Malengo yako uliyopanga kufanya yatimie,Inshallah!!
View attachment 983010
Shunie [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo ni mengi sana my dearSema kweli mama house boy
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo ni mengi mda mchache mamaShunie [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo ni mengi sana my dear
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda unapungua kufanya mambo mengine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo ni mengi mda mchache mama
Na kwako pia ndugu yangu....
Madame B,Aamiiiin kaka yangu.
Asante sana kwa baraka zako
Niko huku Jamatini nakunywa