Natuma salam na wewe njoo utume zako

Natuma salam na wewe njoo utume zako

Pia naomba niwasalimie Shadeeya, Beef Lasagna, Hajar, Ambiele Kiviele, King Kong III, Mzigua90, Ngoda95, Jackline Bahath
Ujumbe: Nawapenda sana na niwatakie mwaka mpya mwema wa 2019
Asante Sana na wewe pis

HappyNewYear_El04.gif
 
Asante kwa salamu zako[emoji120][emoji120]
Ujumbe: mwaka mpya mambo mapya, nimepata bwana mpya uache kunifatafata[emoji6]
Unataka nijiue eti ? Kwa jinsi navokupenda mpaka JF nzima wanajua. Mi watanionaje wakuu wenzangu
We ni wangu tuu nothing can separate us not even death [emoji7][emoji8][emoji11][emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
espy mkao uliokaa tukampata Douta naomba tuutumie 2019.
Heaven Sent Unajua vile nakupenda.
gorgeousmimi Missing you rafiki
Khantwe Udangaji wako ndo uwa unanipa hasira zaidi ya kupambana..Usiache
Valentina Jirani..Hatujauaga mwaka 2018 wala kuukaribisha 2019..Tusiwe wazembe kiasi hicho
Mzigua90 Japo foleni imekuwa kubwa ila unajua penyewe tumetoka.
Evelyn Salt Zawadi uliyoniahidi kunipatia ukimaliza form4 hadi leo kimya mpendwa..Sijui unajifelisha usimalize
BADILI TABIA 2019 usijifiche sana mpendwa..Hata kwenye kwaya sikuoni
Roger Sterling Heri ya mwaka mpya bro
cute b 2019 isipite bila ndoa..Ikibidi mtolee jamaa mahari umuoe kama anazingua..cc sumbai
Love you more pops. Happy New year
 
Samboko hivi Hajar yupo wapi?? Happy new year to you brother.

Kiongozi Mr Miller salam nyingi kwako

Mkuu wa mashemeji espy heri ya mwaka mpya.

Sakayo my sister Mzigua90 api neu yea

dark angel
My sister Khantwe

Class mate Daby happy new year

My blood jje's ur missed soo

Mzee kijana Asprin na mtaalam wangu Sky Eclat
MO11 thanks kwa kuanzisha uzi huu. Ila its enough uache kumchezea dadashemej espy

My best Shunie much love to you.

Madame S

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante bro, mwaka 2019 ukawa mwema kwako pia[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom