Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 678
- Thread starter
-
- #181
Nikola Tesla aliwahi sema kama tutajua ukuu wa namba 3,6 na 9 tutakuwa na ufunguo wa ulimwengu.Nadhani bado kuna kilichofichwa kwenye hizi codes, mara nyingi codes za aina hii huwa na turns, zake yaani idadi ya kuzisoma ili kuzipa uzito kwa kusudio tarajiwa, abjad ya Hebrew na sio ya Kiarabu.
Sishauri hili kwa yeyote niliwahi jaribu kwa formulae nyingine never try this, nakumbuka nilipiga kelele usiku kwa miale ya radi iliyokuwa ikinipitia karibu, kwa kishindo, huku nikiangalia viumbe wenye mabawa wakiimba mfululizo bila kusimama, hallelujah hallelujah, hapa ndipo nilipojifunza mungu hupendezwa zaidi kwa wanaomtukuza kwa masaa 24 bila kuchoka mfululizo miaka kwa miaka.Bible code;- TEKELI TESE TEKELI TEKELI
Kutaka kwenda kutembelea mbingu ya tatu (peponi)2 korintho 12:1-5, isaya 33:16-24Sababu za kwenda kutembelea mbinguniUNATUMIAJE
- Kuona utukufu wa Mungu
- Kulegeza kamba zako
- Kukaza sana shina la mlango wako
- Kuondoa ugonjwa ambao ulikushinda baada ya kutumia mbinu za hospitalini na kimaombi ukafeli
(Jina lako)(unatamka bible code)
- Binafsi-Unakua unatamka kimoyo kimoyo mda wowote ule unaweza acha mzigo ukiondoka au mpaka utakapoona mabadiliko
(Jina la unayemuombea) (unatamka bible code)
- Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code
Hujaweka sawa yani hushauri mtu kupitia code zinazo Kwenda kutembela mbinguni ama hushauri huu utaratibu wa kusoma hizi codeSishauri hili kwa yeyote niliwahi jaribu kwa formulae nyingine never try this, nakumbuka nilipiga kelele usiku kwa miale ya radi iliyokuwa ikinipitia karibu, kwa kishindo, huku nikiangalia viumbe wenye mabawa wakiimba mfululizo bila kusimama, hallelujah hallelujah, hapa ndipo nilipojifunza mungu hupendezwa zaidi kwa wanaomtukuza kwa masaa 24 bila kuchoka mfululizo miaka kwa miaka.
Sishauri hili kwa yeyote niliwahi jaribu kwa formulae nyingine never try this, nakumbuka nilipiga kelele usiku kwa miale ya radi iliyokuwa ikinipitia karibu, kwa kishindo, huku nikiangalia viumbe wenye mabawa wakiimba mfululizo bila kusimama, hallelujah hallelujah, hapa ndipo nilipojifunza mungu hupendezwa zaidi kwa wanaomtukuza kwa masaa 24 bila kuchoka mfululizo miaka kwa miaka.
Una ushuhuda kwa waliotumia na kunufaikaBible code nazitoa bure haziuzwi kwa kiasi chochote kile cha fedha gharama yako ni iman tu
Kwahiyo Ukiomba Kwa Kufuata Code Ndio Mungu Atakusikia Na Kujibu Maombi Yako [emoji1]Hujaona mtu anaomba mungu na majibu hayaji haraka mpaka anafikia kukufuru?
MAOMBI YANA TERMINOLOGY ZAKE, PIA ROTATIONS ZAKE, YAPO MAOMBI YANAYOAMNATANA NA SADAKA, YAANI UMTOLEE MUUMBA NDIYO YAFANIKIWE!
[emoji1][emoji1][emoji1] Unasafari Ndefu Sana [emoji1]I. N. R. I, HII SYMBOL BY NATURE HUFUKUZA MAPEPO.
Utukufu wa Mungu ni mkubwa sana na ana njia nyingiKwahiyo Ukiomba Kwa Kufuata Code Ndio Mungu Atakusikia Na Kujibu Maombi Yako [emoji1]
YESU MWENYEWE ALISEMA OMBENI BILA KUCHOKA IKIWA NA MAANA MUNGU HAJIBU KUTOKANA NA MIILI YETU INAYO CHOKA NA KUANZA KUKUFURU
NB MIMI SIJUI MUNGU ANAJIBUJE ILA NIMEFUNDISHWA KUOMBA BILA KUCHOKA YANI NIOMBE TU HATA KAMA SIONI KITU KWA MDA MREFU.
Kwahiyo Ukiomba Kwa Kufuata Code Ndio Mungu Atakusikia Na Kujibu Maombi Yako [emoji1]
YESU MWENYEWE ALISEMA OMBENI BILA KUCHOKA IKIWA NA MAANA MUNGU HAJIBU KUTOKANA NA MIILI YETU INAYO CHOKA NA KUANZA KUKUFURU
NB MIMI SIJUI MUNGU ANAJIBUJE ILA NIMEFUNDISHWA KUOMBA BILA KUCHOKA YANI NIOMBE TU HATA KAMA SIONI KITU KWA MDA MREFU.
NJIA YA MUNGU NI MOJA TU KUOMBAUtukufu wa Mungu ni mkubwa sana na ana njia nyingi
Hana njia moja ndo maana kuna karama tofauti tofauti kapa watu ingekua ndo hivyo kama unavyosema kusingekua na haja ya Mungu kuwapa karama tofauti tofauti kama mambo yangekua ni marahisi hivyo
Kuna watu wanakarama za lugha
Na hii imepelekea ukristo kutokusupport mambo ya science kwa kuwa na mawazo mgando kama yako