Bible code number 05:- TEKE TEKE TEKELI PERESI
Kazi yake;-Kupata mbinu za kifikra (akili) za kupata kipato cha kila siku (Mathayo 6;9-13)
- Wafanyakazi
- Wafanyabiashara
- Wasio na kazi utapata akili ya kuishi na kupata rizki japokua huna kazi rasmi
UNATUMIAJE
- Binafsi-Unakua unatamka kimoyo kimoyo mda wowote mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yako matatu)(unatamka bible code)
- Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye) (unatamka bible code)