Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 678
- Thread starter
-
- #281
sijaelewa hapa......Bible code number 03:- MEKE MEKE MEKELI MERESI
Kazi yake;- Kutumia Roho ya hekima(Mithali 8:1-36, 9:1-18, 1:20-33)UNATUMIAJE
- Kutanganza biashara yako kwenye ulimwengu wa roho
- Kupiga kampeni juu jambo flani katika eneo husika
(Majina yako matatu)(unatamka bible code)
- Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo mda wowote mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye) (unatamka bible code)
- Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code mpaka kiu itakapoondoka
Hekima ni roho kama ilivyo Roho mtakatifusijaelewa hapa......
Hizo code zimeandikwa kwa lugha gani ? Ni kiebrania ?Bible code number 03:- MEKE MEKE MEKELI MERESI
Kazi yake;- Roho ya hekima kukaa juu yako na kuitumia(Mithali 8:1-36, 9:1-18, 1:20-33)UNATUMIAJE
- Kutanganza biashara yako kwenye ulimwengu wa roho
- Kupiga kampeni juu jambo flani katika eneo husika
(Majina yako matatu)(unatamka bible code)
- Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo mda wowote mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye) (unatamka bible code)
- Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code mpaka kiu itakapoondoka
Tumia kwani kuna sehemu umekatazwaMimi natupia pesa kutatua changamoto zangu.