Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 678
- Thread starter
-
- #321
Sio lazima akuonyeshe ulipofanya utapeli ila kwa njia hizo unajua tu moyoni mwako lazima kuna wajinga watakuja maana umeshaweka namba na wakija huko utamalizana nao hukohuko maana kuna mtu atafanikiwa kwa michongo yake ,yeye atahisi ndio ujinga wa teketeketeli mara sekeseke sekeli lazima atarudisha shukran ya pesa wakija mia mia mbili hujatoboa?na wakiwambia wajinga wenzao si ushapiga pesaAlafu unavyosema mimi ni tapeli ebu nionyeshe sehemu niliyokutapeli huwezi tu mtuhumu tu hajakufanyia ubaya ni tanzania tu utakutana na hii hali
Mimi natumia biblia kutatua changamoto wala sio aibu au kuogopa chochote sababu hakuna baya nalofanaya
Kaka mbona mwandiko kama wa mtoa mada usituchezee akiliAchana nae!
Mambo ya kiroho sio ya Kila mtu!!
Tunasoma na tutafanyia KAZI hasa code ya mene mene tekeli na peresi!!
Kwa hiyo unataka matatizo ya mtu binafsi aje ayasemee huku akili za wapiSio lazima akuonyeshe ulipofanya utapeli ila kwa njia hizo unajua tu moyoni mwako lazima kuna wajinga watakuja maana umeshaweka namba na wakija huko utamalizana nao hukohuko maana kuna mtu atafanikiwa kwa michongo yake ,yeye atahisi ndio ujinga wa teketeketeli mara sekeseke sekeli lazima atarudisha shukran ya pesa wakija mia mia mbili hujatoboa?na wakiwambia wajinga wenzao si ushapiga pesa
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Hakuna sehemu umelazimishwa sijui kwanini unatesekaKaka mbona mwandiko kama wa mtoa mada usituchezee akili
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Seke seke sekeli ndio kuna lugha ametafsiri hapoKutafsiri lugha ni karama...
Lugha iliyozungumzwa kibiblia ni ipi na nani anatafsiri?
Ninachoona hapa kwake kwamba huyu ni Mtafsiri wa Lugha...
Ndio karama yake ...
Kwanini unateseka je kuna baya lolote ambalo nimekufanyia ebu tuanzie hapoSeke seke sekeli ndio kuna lugha ametafsiri hapo
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Haya ndio malengo ya mtoa madaWatanzania mmerogwa na Nani?
Nipo tayari niwe nakichangia Pesa ya Kula mkuu
TANZANIA [emoji1241] NI NCHI TAJIRI CHAPA KAZIBible code number 122:- MENE PERESI TEKELI KEKELE
Kazi yake;- kujua animal linguistics(Mwanzo 3:1-5)UNATUMIAJE
- Alphabet
- Phonetics
- Phonology
- Morphology
- Syntax
- Semantics
- Pragmatics
(Jina la mnyama) (unatamka bible code)
- Unatamka jina la mnyama alafu zinafuata code mpaka kiu itakapoondoka
Mwandiko na Taswira ya Mwakasege inanijia kila nikisoma hizi codes!!Bible code number 54:- PENE MENE MENE PENE
Kazi yake;- Kukupa mbinu za kifikra za kukabiliana na uongozi mbovu
(Waamuzi 17:6, Waamuzi 21:25)
Uongozi mbovu iwe ni kwenye familia, ofisini au mahali popote pale
- Kiongozi mla rushwa
- Kiongozi asiyefuata sheria
- Kiongozi anayeonea walioko chini yake
- Kiongozi mdini
- Kiongozi mwenye upeo mdogo
UNATUMIAJE
(Unataja majina ya kiongozi mbovu)(unatamka bible code)
- Unakua unatamka kimoyo moyo mda wowote mpaka kiu itakapoondoka