Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 678
- Thread starter
-
- #421
Inaonekana hauna unachoelewa mkuu, Pole ndugu yangu...Jitahidi upate elimu SAHIHI ya kirohoC mon bro, karne ya 21! Unataka kutatua shida za watu kwa kukalili biblia? Msongo wa mawazo,matatizo ya akili,hizi ni dalili za tatizo kubwa LA uchumi,
Kumuomba Mungu ni swala muhimu, hata tajiri kama bakhresa, au dangote, au diamond wote wanamuomba Mungu, na wametatua matatizo ya watu ya kiuchumi, nk, nyumba za ibada,na viongozi ww dini, wana tu fundisha na kutufafanulia Mambo ya kiroho, spirituality, vitu kama demons, spiritual staff, lakini Mambo ya kimwili kama cha kula, ajira hayatatuliwi na spiritual education,
We unafikri hii jamii forums, walioianzisha, waliomba Mungu ikatokea? walimuomba Mungu awape akili, ili ujuzi, wao watakachokifanya mtandaoni kifanikiwe,
Ukienda kanisani kuomba Mungu akupe kitanda na kabati,yeye atakupa miti, utumie bongo yako kutengeneza vitanda na makabati,
Chunguza Sana, "kadri maisha yanavyozidi kuwa magumu, ndivyo wachungaji na makanisa ya kilokole yanavyoongezeka, "
Zamani vijana walikimbilia "U motivation speaker ship" Sasa hv kila kijana, anashona suti ana kuwa pastor, ndipo kwenye maokoto"
Huko utaambiwa, leta kucha na nywele, ziombewe!
Ukristo unatumika Ku tafuta pesa za kuishi.
Kimoyomoyo au kwa mdomo?Kiukwel nmetamka Eloi Eleoi nkaskia kutikisika mwil mzma
Je kutamka kwa mdomo ni vibaya?MAJIBU BAADA YA KUTAMKA BIBLE CODE
Majibu Mungu atakayokupa kwa asilimia 99 ni kuhuisha fikra zako, yaani utapewa maarifa ya kupambana na changamoto inayokukabili, na asilimia 1 tu atatumia miujiza., kwa hiyo usitegemee sana miujiza bali tegemea wazo kutoka kwa Mungu litakalokuvusha.
Ulitamka code ukamuona Malaika?Sishauri hili kwa yeyote niliwahi jaribu kwa formulae nyingine never try this, nakumbuka nilipiga kelele usiku kwa miale ya radi iliyokuwa ikinipitia karibu, kwa kishindo, huku nikiangalia viumbe wenye mabawa wakiimba mfululizo bila kusimama, hallelujah hallelujah, hapa ndipo nilipojifunza mungu hupendezwa zaidi kwa wanaomtukuza kwa masaa 24 bila kuchoka mfululizo miaka kwa miaka.
Siamini kama wewe ni mtumishi wa Mungu.Naona una comment mwenyewe kwa ID zako mbilimbili. 😀😃😄😁😆😅. Unajidanganya mwenyewe tu mkuu.
Acha kukariri maisha nipo tayari nipigwe ban ya maisha kama hiyo account ni ya kwangu,mimi nimesapoti kwasababu nimekipenda anachokifanya basi!Naona una comment mwenyewe kwa ID zako mbilimbili. [emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38][emoji28]. Unajidanganya mwenyewe tu mkuu.
Kimoyo moyo na nilkua nmejlaza ktandanKimoyomoyo au kwa mdomo?
Hata kwa mdomo ili-mradi usiwe kero kwa mtu mwingineKimoyomoyo au kwa mdomo?
Huyo jamaa wivu unamsumbua mara nyingi mtu anapofanya jambo jipya ambalo halikuwepo lazima baadhi ya watu wamuonee wivuAcha kukariri maisha nipo tayari nipigwe ban ya maisha kama hiyo account ni ya kwangu,mimi nimesapoti kwasababu nimekipenda anachokifanya basi!
Bible code number 131:- LENE TEKELI TEKELI LENEUlitamka code ukamuona Malaika?
Mtumishi, mtu akiwa na jini mwilini, anatakiwa kutamka haya maneno? Au kuna code nyingine?Bible code number 55:- PERESI MENE TEKELI PERESI
Kazi yake;-Yesu kutoa mapepo/majini yanayomsumbua mtu
(Luka 8:26-32)
UNATUMIAJE
- Unasumbuliwa na majini mahaba
- Ugonjwa wa ajabu uliosababishwa na majini
- Kichaa kilicho sababishwa na majini
- Utahira uliosababishwa na majini
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo angalau dakika 15 kwa siku (na zaidi kama ukiweza) kwa imani na msisitizo mpaka majini yatakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo angalau dakika 15 kwa siku (na zaidi kama ukiweza) kwa imani na msisitizo mpaka majini yatakapoondoka
MUHIMU
Ukishatoa sumu ya kulogwa hakikisha unabatizwa na Yesu kwa Roho mtakatifu na moto kupitia foundation bible code X na Yesu kukutawadha kupitia foundation bible code XX
Ndo hizo hizo hakuna nyingineMtumishi, mtu akiwa na jini mwilini, anatakiwa kutamka haya maneno? Au kuna code nyingine?
Asante kwa kujibu maswali ya awali.