Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 678
- Thread starter
-
- #461
Kwani umelazimishwa kutumia huu unaouita ujingaJaribu kukaa na ujinga wako usiwalishe wenzio,je umeweza kutatua changamoto za ndugu zako kwa biblia?
Ndiyo maana nimekuambia una matatizo ya kiakili, we endelea kukaa tu hapo msikitini ukisubiri kahawa na kashata huku ukiteta wanaume wenzakoNionyeshe aya yeyote ile ya quran kwenye hizo code nimekaa pale nasubiria
Hivi unanijua mpaka unaniambia nakaa hapo msikitiniNdiyo maana nimekuambia una matatizo ya kiakili, we endelea kukaa tu hapo msikitini ukisubiri kahawa na kashata huku ukiteta wanaume wenzako
Acha nae huyu wakala wa ibilisi pasipo kujuwa wee Ni wakalaHivi unanijua mpaka unaniambia nakaa hapo msitini
Stress za maisha ni tatizo kubwa sana Tanzania yaani unamvaa na kumtuhumu mtu usiyemjua nenda hospitalini una tatizo kubwa sana la akili
Pole sana, umekaa wapi hivi sasa?Hivi unanijua mpaka unaniambia nakaa hapo msitini
Stress za maisha ni tatizo kubwa sana Tanzania yaani unamvaa na kumtuhumu mtu usiyemjua nenda hospitalini una tatizo kubwa sana la akili
0713520180HV nilikuwa wapi mm sijaona Uzi huu aloo mkuu nakuja dm nipokee Nina mambo ya msingi ya kuulizia hapa kimya kimya
Mkuu nimekutumia PM###kujua siri ya mafanikio yako imefichwa wapi###
Bible code number 07:- KEKE KEKE TEKELI PERESI
Kazi yake;-Kujua hazina yako ilipo
(1 samwel 2:1-10, Luka 12:34, Mathayo 6:21)
Hii itakusaidia kujua siri ya mafanikio
yako imefichwa kwenye kazi/shughuli ipi
- Mapenzi ya Mungu yatimizwe uwe tajiri au na maisha ya kawaida-(kama ni mpango wa Mungu uwe tajiri utakua tajiri bila kutumia nguvu, na kwa-Mungu hamna utajiri wa kulazimisha)
UNATUMIAJE
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka ujue hazina yako ilipo
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo (kwa siri jirani yako asijue) kwa msisitizo na iman mpaka ujue hazina yako ilipo
Nicheki huku 0713520180Mkuu nimekutumia PM