OUR PRODUCT -BIBLE CODE (luka 24:45)
Jumla zipo 144 na zote zipo kwenye huu uzi; zimekua digested kutoka kwenye biblia kwa uongozi wa Roho mtakatifu kwa lugha nyingine hazibuniwi ndo maana chini yake kuna mstari wa biblia. Bible code unatumia bure haziuzwi gharama ni iman na subira yako.
UKITUMIA BIBLE CODE UTAPATA MAARFA YA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO INAYOKUKABILI
(Hosea 4:6, Yeremia 4:22, Mithali 1:7)
Fanyia kazi fikra/wazo utakalolipata baada ya kutamka hizi bible code ndo maarifa yenyewe na hilo ndo jibu lako ulikokua unalitafuta kumbuka imani bila matendo imekufa. Kama hitaji lako liko nje ya uwezo wako kwa asilimia 100 Mungu atakufanyia miujiza
NOTE: usimpangie Mungu akujibuje kuwa mnyenyekevu kwake na uache kiburi na kumziria sababu unaona amechelewa kukujibu (2 Mambo ya nyakati 33:23)
MSHUKURU MUNGU BAADA YA MAOMBI YAKO KUJIBIWA BAADA YA KUTAMKA BIBLE CODE (Luka 17:11-19, Waamuzi 6:16-18, Waamuzi 13:15-20)
Ni vizuri ukamshukuru Mungu kwa namna wewe unavyoona ni sahii lakin hakikisha una-mshukuru Mungu hata kwa kinywa chako., hata kama ni kidogo Mungu amekupa katika kikubwa ulichokua unaomba mshukuru.