Umetoka kwenye utapeli umeamia kwenye wazimu kama mstari wa luka hautibu we shida yako ni nini
Mbona unateseka kwani umelazimishwa kutumia
Majungu sio mtaji
Umeanza kusema mimi ni tapeli nikakuambia leta ushahidi ukashindwaUSIDANGANYE WATU
Utambulisho wa Luka kama mwandishi unategemea hasa vifungu vya "sisi" katika Matendo (kuanzia Matendo 16:10), ambavyo vinaonyesha kwamba Luka alihusishwa na Paulo katika huduma yake na aliandika maelezo ya shughuli zake. Amplified Bible, Ukurasa 1153)"
Uthibitisho pekee walio nao kuhusu Luka kuwa mwandishi pekee wa injili hii ni dhana dhaifu juu ya "sisi". Huu ni ujinga hata kidogo! Uvumi huu unaonyesha:
Injili iliwezekana kuwa ilibadilishwa au kuandikwa na wengine kando na Luka.
Mahali pa uhifadhi haijulikani.
Tarehe ya uhifadhi wake pia haijulikani.
Inafaa pia kutaja kwamba mwandishi wa kitabu cha Matendo pia hajulikani kama inavyoonyeshwa hapo juu:
"Ingawa mwandishi hatajitaja mwenyewe, ushahidi nje ya Maandiko na makisio kutoka kwa kitabu chenyewe yanaongoza kwenye hitimisho kwamba mwandishi alikuwa Luka. (Kutoka NIV Bible Commentary [1], ukurasa wa 1643)"
Umeanza kusema mimi ni tapeli nikakuambia leta ushahidi ukashindwa
Ukantuhumu navuta bangi
Sasa hivi unasema mimi ni muongo nikikuuliza nipe ushahid wa mimi kuwa muongo huna
Majungu sio mtaji na huwezi mpangia Mungu kuachilia utukufu wake
Mimi siwez kukutukana ila we endelea kutukana wee ukichoka utaacha na mimi ntaendelea na hiki nachokifanyaUmetoa Kodi ipi kutoka injili ipo au ya utapeli. ๐๐๐
Yaani wazimu ulivyokuzidi Kama vile waandishi wa biblia waliosema maandishi yao wameitia na Kodi ndani yake ๐๐๐
Usimjibu chochote huyo jamaa, atakuvuruga tu.Mimi siwez kukutukana ila we endelea kutukana wee ukichoka utaacha na mimi ntaendelea na hiki nachokifanya
Hapo umetumia Kodi ipi Mkuu? Ya yohana au Luka ?Mimi siwez kukutukana ila we endelea kutukana wee ukichoka utaacha na mimi ntaendelea na hiki nachokifanya
Endelea mpaka uijaze section ya commentHapo umetumia Kodi ipi Mkuu? Ya yohana au Luka ?
Pengine Kodi yako huwenda ikafanya kazi vizuri zaidi , tuone jee ataitumia Kodi ya injili ya Proved??Usimjibu chochote huyo jamaa, atakuvuruga tu.
Mpuuze.
Endelea mpaka uijaze section ya comment
Hivi unawezaje poteza mda ma mtu uliyemtuhumu ni tapeli, mvuta bangi wa chato, anawazimu, mjingaHapo umetumia Kodi ipi Mkuu? Ya yohana au Luka
Hivi unawezaje poteza mda ma mtu uliyemtuhumu ni tapeli, mvuta bangi wa chato, anawazimu, mjinga
Tanzania ni nchi yenye vichekesho sana
Yaani unawezaje mdharau mtu kwa kiwango kikubwa hivi na bado unahangaika naye
Mchezo upi sababu umeshindwa kuonyesha kwamba ni tapeliSihangaiki naye ninawaamsha wengine na kumuonyesha kuwa wengine wanaufahamu mchezo wake
Hivi wewe usiyemdharau unafuata biblia ipi ??KJV, NIV QJV, RSV,au ipi kati ya maelfu ya biblia zilizo tofauti
Kama si tapeli na aiondoshe CCM kwa hizo Kodi Zake ๐๐๐Mchezo upi sababu umeshindwa kuonyesha kwamba ni tapeli
Na mbona hakuna malalamiko ya watu kuonyesha wamefanyiwa usanii
Sawa endelea kurusha mawe gizaniKama si tapeli na aiondoshe CCM kwa hizo Kodi Zake ๐๐๐
Ndiyo Kodi ya kuiangusha CCM hiyo??Sawa endelea kurusha mawe gizani
### ukiwa kwenye nyakati ngumu ###
Bible code number 02:- ELOI ELOI LAMA SABAKTHANI
Kazi yake;- kukupa nguvu ukiwa katika bonde la uvuli wa mauti
(Mathayo 27:46, Zaburi 23)
UNATUMIAJE
- Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, unakua na uchungu wa moyo, pia unajikuta ukitaman kulia lakini machozi hayatoki kutoka..but we have to be strong; sababu ni mpaka kusudi la Mungu litimie ndo ugumu unaopitia utaondoka fanya jitihada za wewe kuondoa huo ugumu ila usitumie nguvu kubwa sana kuondoa huo ugumu sababu utaleta negative impact kubwa sana kwako.
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata nguvu
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata nguvu
Official nimeku-ignoreHiyo ni biblia mpya ya Gibbethon,
Inapatikana kanisa lipi?