UTANGULIZI
Daniel 5:25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Ukisoma huu mstari utaona ni mara moja kwenye biblia yote Mungu ametumia mfano wa code kufikisha ujumbe, japokua anaweza tumia njia nyingine sababu anazo nyingi kufikisha ujumbe. Mimi binafsi natumia bible code kuwa agano kwa watu na nuru ya mataifa; kuyafunua macho ya vipofu, kuwatoa gerezani waliofungwa, kuwatoa wale walioketi gizani katika nyumba ya kufungwa
UNATUMIAJE
- Binafsi-Unakua unatamka kimoyo kimoyo mda wowote ule unaweza acha mzigo ukiondoka au mpaka utakapoona mabadiliko
(Jina lako)(unatamka bible code)
- Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code
(Jina la unayemuombea) (unatamka bible code)
MAMBO YA KUZINGATIA
- Code zinatolewa bure hulipii gharama yeyote ntakua nazituma huku kwenye huu uzi na matumizi yake
- Hii huduma inahusu watu wa dini zote sio wakristo tu, hata ukiwa mwislamu, mhindu, budhaa unarusiwa pia
- Nia yako moyoni mwako ndo itakayoamua either code ifanye kazi au la nikimaanisha kama una nia ovu kama kisasi, kuwa kikwazo kwa wengine, kuwakera wengine, n.k hazifanyi kazi ili ifanye kazi inatakiwa uwe mnyenyekevu
- Code hazina ishara yeyote ile sababu zimejikita kwenye ulimwengu wa roho na inafanya kazi kimya kimya na ni mara chache sana zina miujiza
- Code inachukua mda kufanya kazi means inafanya kazi pole pole ni kwa mda gani exactly mapenzi ya Mungu ndo yatakayoamua na ni mara chache sana inafanya kazi mara moja (instantly)
- Kwenye suala zima la kipato inakupa unachostahili kama ni utajiri itakupa utajiri
- Inabadilisha sheria za ulimwengu wa roho
- Hakikisha unafanya kazi hizo code zisiwe tiketi ya wewe kusubiria miujiza
- Code mda mwingine inaweza isiondoe tatizo linalokukabili ila ikalisitiri (kulifanya kuwa irrelevant) lisiwe ni kikwazo kwako lakin litaendelea kuwepo
Karibuni katika utukufu wa Mungu