Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 678
- Thread starter
-
- #81
Bible code number 02:- ELOI ELOI LAMA SABAKTHANICode ambayo nimetumia na imenisaidia kwa asilimia 100%,ni "ELOI ELOI LAMA SABAKITANI" natamka hilo namalizia na tafsiri yake, rudia bila kuchoka mara kwa mara faraja haitakuwa mbali nawe!
Hili neno ni lugha gani na linq maana gani kwa kiswahiliELOI ELOI LAMA SABAKTHANI
Kolosai 3:17 Kazi ya verse 31,102 zinakazi gani kama jina la yesu peke yake linatosha
Mimi nilifikiri ni lugha hiyo, kumbe ni code.....Hili neno ni lugha gani na linq maana gani kwa kiswahili
Dan 5:25-28 SUVDaniel 5:25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
Hana roho ya kukataliwa ila ana tatizo la kukosa kujiamini linalotokana na matatizo ya akili, mwambie awahi hospital, pia tatizo sugu kuliko yote ni umasikini na usafi wa mwili, mwambie atafute sana pesa na azingatie usafi wa mwili+tabia njema uone kama kuna mtu hatopenda kuwa karibu yake.Rafiki yangu ananililia sana anasema ana changamoto ya kukataliwa.
He Afanye nini
Roho ya kukataliwa inamtesa sana