UTANGULIZI
Daniel 5:25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Ukisoma huu mstari utaona ni mara moja kwenye biblia yote Mungu ametumia mfano wa code kufikisha ujumbe, japokua anaweza tumia njia nyingine sababu anazo nyingi kufikisha ujumbe. Mimi binafsi natumia bible code kuwa agano kwa watu na nuru ya mataifa; kuyafunua macho ya vipofu, kuwatoa gerezani waliofungwa, kuwatoa wale walioketi gizani katika nyumba ya kufungwa.
SINA KANISA HUDUMA YANGU NI ONLINE ASILIMIA 100 (DIGITAL) NA LENGO NI KUFIKIA WATU WENGI KIURAHISI
AINA ZA CODE NTAKAZOZITOA
- Kama kichwa cha habari kinavyosema sina kanisa na sina mpango wa kufungua kanisa ni asilimia 100 online
- WhatsApp only 0713520180 ni kwa maelezo zaidi ya code nazozitoa kama una-maswali binafsi
- Hii ni ibada ya sirini nikimaanisha kama ni mkristo dhehebu la roma unabaki huko, same kwa lutheran, wasabato, na hata kama ni muislamu unatumia code ukiendelea kubaki kuwa muislamu
MAMBO YA KUZINGATIA
- Zinazohusiana na binadamu
- Zinazohusiana na viumbe tofauti na binadamu
- Zinahusiana na kutumia nguvu za Mungu (Yahweh) kupambana na ufalme wa giza kujua aina za shetani. Shetan aliyehasi ni mmoja ila baada ya kutupwa nje ya mbinguni walifaraka na kutokea mashetani wengi na falme zao na wenyewe kwa wenyewe wanapigana vita mpaka sahivi
- Zinahusiana na science
- Zinazohusiana na universe kwa ujumla maisha kabla ya uharibifu
Karibuni katika utukufu wa Mungu
- Usifanye masihara na hiki nachofanya sikutishii ila kama unaona hakina msaada kwako achana nacho sababu una-haki hiyo ila usifanyie masihara na mizaha na hizi code
- Kama huna iman juu ya hizi code ni ngumu sana kufanya kazi
- Code zinatolewa bure hulipii gharama yeyote ntakua nazituma huku kwenye huu uzi na matumizi yake
- Nia yako moyoni mwako ndo itakayoamua either code ifanye kazi au la nikimaanisha kama una nia ovu kama kisasi, kuwa kikwazo kwa wengine, kuwakera wengine, n.k hazifanyi kazi ili ifanye kazi inatakiwa uwe mnyenyekevu
- Code hazina ishara yeyote ile sababu zimejikita kwenye ulimwengu wa roho na zinafanya kazi kimya kimya na ni mara chache sana zina miujiza
- Code inachukua mda kufanya kazi means inafanya kazi pole pole ni kwa mda gani exactly mapenzi ya Mungu ndo yatakayoamua na ni mara chache sana inafanya kazi mara moja (instantly)
- Kwenye suala zima la kipato inakupa unachostahili kama ni utajiri itakupa utajiri ila huwezi lazimisha kupata utajiri
- Inabadilisha sheria za ulimwengu wa roho
- Hakikisha unafanya kazi hizo code zisiwe tiketi ya wewe kusubiria miujiza
- Code mda mwingine inaweza isiondoe tatizo linalokukabili ila ikalisitiri (kulifanya kuwa irrelevant) lisiwe ni kikwazo kwako lakin litaendelea kuwepo
"Don’t stop praying because you don’t see results immediately"
Sifanyi hiki kwa shinikizo lako au kukuprove au kufanya unachotaka wewe Sileti naamin umenielewaSawa
Leta hiyo anti gravity theorem kwa kutumia hizo ngano
Urefu wa kambaUTANGULIZI

Usisahau kushare hizi code na jirani yako ni bure gharama yake ni imani tu
"Don’t stop praying because you don’t see results immediately"
Sifanyi hiki kwa shinikizo lako au kukuprove au kufanya unachotaka wewe Sileti naamin umenielewa

Bible code;- PERESI PERESI TEKELI TEKELI
Kuondoa roho ya umalaya inayolisumbua eneo/mtaa flani
Maombelezo 1:8-10
UNATUMIAJE
- Kuondoa ujasiri wa watu kufanya umalaya kwenye mtaa/eneo flani
(Jina la mahali)(unatamka bible code)
- Unakua unatamka kimoyo kimoyo mda wowote ule unaweza acha mzigo ukiondoka au mpaka utakapoona mabadiliko
kitabu cha maombolezo kinahusiana vipi na kodiAya gani kwenye biblia imesema hiyo ni Kodi , usipakazie please
Nadhani bado kuna kilichofichwa kwenye hizi codes, mara nyingi codes za aina hii huwa na turns, zake yaani idadi ya kuzisoma ili kuzipa uzito kwa kusudio tarajiwa, abjad ya Hebrew na sio ya Kiarabu.Dah kweli huu ni ubunifu wa Hali ya juuu
Code ni nini?UTANGULIZI
Daniel 5:25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Ukisoma huu mstari utaona ni mara moja kwenye biblia yote Mungu ametumia mfano wa code kufikisha ujumbe, japokua anaweza tumia njia nyingine sababu anazo nyingi kufikisha ujumbe. Mimi binafsi natumia bible code kuwa agano kwa watu na nuru ya mataifa; kuyafunua macho ya vipofu, kuwatoa gerezani waliofungwa, kuwatoa wale walioketi gizani katika nyumba ya kufungwa.
SINA KANISA HUDUMA YANGU NI ONLINE ASILIMIA 100 (DIGITAL) NA LENGO NI KUFIKIA WATU WENGI KIURAHISI
AINA ZA CODE NTAKAZOZITOA
- Kama kichwa cha habari kinavyosema sina kanisa na sina mpango wa kufungua kanisa ni asilimia 100 online
- WhatsApp only 0713520180 ni kwa maelezo zaidi ya code nazozitoa kama una-maswali binafsi
- Hii ni ibada ya sirini nikimaanisha kama ni mkristo dhehebu la roma unabaki huko, same kwa lutheran, wasabato, na hata kama ni muislamu unatumia code ukiendelea kubaki kuwa muislamu
MAMBO YA KUZINGATIA
- Zinazohusiana na binadamu
- Zinazohusiana na viumbe tofauti na binadamu
- Zinahusiana na kutumia nguvu za Mungu (Yahweh) kupambana na ufalme wa giza kujua aina za shetani. Shetan aliyehasi ni mmoja ila baada ya kutupwa nje ya mbinguni walifaraka na kutokea mashetani wengi na falme zao na wenyewe kwa wenyewe wanapigana vita mpaka sahivi
- Zinahusiana na science
- Zinazohusiana na universe kwa ujumla maisha kabla ya uharibifu
Karibuni katika utukufu wa Mungu
- Usifanye masihara na hiki nachofanya sikutishii ila kama unaona hakina msaada kwako achana nacho sababu una-haki hiyo ila usifanyie masihara na mizaha na hizi code
- Kama huna iman juu ya hizi code ni ngumu sana kufanya kazi
- Code zinatolewa bure hulipii gharama yeyote ntakua nazituma huku kwenye huu uzi na matumizi yake
- Nia yako moyoni mwako ndo itakayoamua either code ifanye kazi au la nikimaanisha kama una nia ovu kama kisasi, kuwa kikwazo kwa wengine, kuwakera wengine, n.k hazifanyi kazi ili ifanye kazi inatakiwa uwe mnyenyekevu
- Code hazina ishara yeyote ile sababu zimejikita kwenye ulimwengu wa roho na zinafanya kazi kimya kimya na ni mara chache sana zina miujiza
- Code inachukua mda kufanya kazi means inafanya kazi pole pole ni kwa mda gani exactly mapenzi ya Mungu ndo yatakayoamua na ni mara chache sana inafanya kazi mara moja (instantly)
- Kwenye suala zima la kipato inakupa unachostahili kama ni utajiri itakupa utajiri ila huwezi lazimisha kupata utajiri
- Inabadilisha sheria za ulimwengu wa roho
- Hakikisha unafanya kazi hizo code zisiwe tiketi ya wewe kusubiria miujiza
- Code mda mwingine inaweza isiondoe tatizo linalokukabili ila ikalisitiri (kulifanya kuwa irrelevant) lisiwe ni kikwazo kwako lakin litaendelea kuwepo
Usisahau kushare hizi code na jirani yako ni bure gharama yake ni imani tu
"Don’t stop praying because you don’t see results immediately"
Omba lolote kwa Jina la Yesu, utafanikwa, Yesu ni jina lipitalo majina yote.Naomba code ya kufukuza wachawi, iwe usiku ama mchana.
Pia code ya ulinzi safarin
Upo utofauti kati ya kuomba Mungu na kuomba miungu. Katikati ya miungu, sijaona Mungu kama wewe wala matendo mfano wa matendo yako.C mon bro, karne ya 21! Unataka kutatua shida za watu kwa kukalili biblia? Msongo wa mawazo,matatizo ya akili,hizi ni dalili za tatizo kubwa LA uchumi,
Kumuomba Mungu ni swala muhimu, hata tajiri kama bakhresa, au dangote, au diamond wote wanamuomba Mungu, na wametatua matatizo ya watu ya kiuchumi, nk, nyumba za ibada,na viongozi ww dini, wana tu fundisha na kutufafanulia Mambo ya kiroho, spirituality, vitu kama demons, spiritual staff, lakini Mambo ya kimwili kama cha kula, ajira hayatatuliwi na spiritual education,
We unafikri hii jamii forums, walioianzisha, waliomba Mungu ikatokea? walimuomba Mungu awape akili, ili ujuzi, wao watakachokifanya mtandaoni kifanikiwe,
Ukienda kanisani kuomba Mungu akupe kitanda na kabati,yeye atakupa miti, utumie bongo yako kutengeneza vitanda na makabati,
Chunguza Sana, "kadri maisha yanavyozidi kuwa magumu, ndivyo wachungaji na makanisa ya kilokole yanavyoongezeka, "
Zamani vijana walikimbilia "U motivation speaker ship" Sasa hv kila kijana, anashona suti ana kuwa pastor, ndipo kwenye maokoto"
Huko utaambiwa, leta kucha na nywele, ziombewe!
Ukristo unatumika Ku tafuta pesa za kuishi.
Watumishi wa Bwana ngoja tuweke kambi hapa,UTANGULIZI
Daniel 5:25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Ukisoma huu mstari utaona ni mara moja kwenye biblia yote Mungu ametumia mfano wa code kufikisha ujumbe, japokua anaweza tumia njia nyingine sababu