Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 678
- Thread starter
-
- #161
Hizo code zimebeba mistari ya biblia ambayo ipo chini yake hapoLakini hizi code hazina uhusiano na mambo ya giza kweli, tafsiri kidogo
Nguvu ambayo ipo nyuma ya andikoWakati unasoma code na andiko pia unalisoma
KITABU CHA MAOMBOLEZO KAANDIKA YESU , PAULO , MATHAYO , LUKA ,YOHANNA AU MARKO ??kitabu cha maombolezo kinahusiana vipi na kodi
Hujaona mtu anaomba mungu na majibu hayaji haraka mpaka anafikia kukufuru?CODE [emoji1] HIVI MNAELEWA VIZURI MAANA YA ULIMWENGU WA ROHO
ULIMWENGU WA ROHO NI KUOMBA TU BILA KUCHOKA UKIANZA KUOMBA KWA KUFUATA CODE HUTOBOI
SILAHA KUBWA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NI KUOMBA TU TENA UOMBE BILA KUCHOKA UWE KAMA MTU ANAE ONGEA NA UPEPO AU KAMA KICHAA YANI UOMBE MPAKA SHETANI AJUE HUYU NI CHIZI SIMUWEZI [emoji23][emoji23]
ILA TUKIANZA KUFUATA CODE TENA WAKUU MIMI NIMEKAA PALE [emoji117]
HAMNAGA CODE KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NI KUOMBA TU NA KUFUNGA.
Mkuu kwenye kuambatanisha maombi na sadaka, naomba ufafanuzi...sadaka unaitoa kanisani au popote? unaiombea?Hujaona mtu anaomba mungu na majibu hayaji haraka mpaka anafikia kukufuru?
MAOMBI YANA TERMINOLOGY ZAKE, PIA ROTATIONS ZAKE, YAPO MAOMBI YANAYOAMNATANA NA SADAKA, YAANI UMTOLEE MUUMBA NDIYO YAFANIKIWE!
Mambo ya Mungu ni magumu sana nashangaa watu wanavyo chukulia kirahisi rahisi sanaHujaona mtu anaomba mungu na majibu hayaji haraka mpaka anafikia kukufuru?
MAOMBI YANA TERMINOLOGY ZAKE, PIA ROTATIONS ZAKE, YAPO MAOMBI YANAYOAMNATANA NA SADAKA, YAANI UMTOLEE MUUMBA NDIYO YAFANIKIWE!
YAPO MAMBO AMBAYO YAMESHABAINISHWA KWENYE BIBLIA TAKATIFU NAYO NI,Mkuu kwenye kuambatanisha maombi na sadaka, naomba ufafanuzi...sadaka unaitoa kanisani au popote? unaiombea?
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Hizo code chini yake kuna mistari ya biblia iliyohuishwa na roho mtakatifu unafananishe na uganga au uchawiWaislam wanatumia tarasim nyie mnatumia hzo cod wote n waganga,