Natumia Biblia kutatua changamoto

Kwenye nyuzi nyingine uko bize kuutukana biblia na ukristo matusi mazito ambayo mtu yeyote mstarabu hawezi yatamka

Huku unataka uonekane ni mstaarabu kumbe una mdomo chafu sana

Nachokuomba usilete matusi yako huku kwenye uzi sababu una mdomo mchafu sana
 

Shukrani sana na samahani kama unaona natukana bila kuniletea ushahidi , nakuomba jibu hilo swali nililokuuliza

Pia nakuomba usiwasahau kuwaambia wale wanaoutukana uislamu na Mtume wetu.

Ukumbuke kuwa mimi huwa najibu mapigo kwa staili hiyo hiyo mnayokuja nayo.

Ukija kiustaarabu nakujibu kistaarabu na ukija kihuni nakujibu kihuni lakini bila matusi, wenye matusi ni nyinyi wakristo.

Hakuna kugeuza shavu.

Natumai umeelewa

nakuletea na zawadi hii kwa ukumbusho

Sikiliza mpaka mwisho Tafadhali


View: https://youtu.be/x6pF9WG3HaA
 
Hakuna mtu mstaarabu na mwenye busara anauwezo wa kuporomosha matusi yale unayoporomoshaga tena mazito

Unahaki ya kucomment kwenye huu uzi siwezi kukukataza ila usiniaribie uzi kwa yale matusi yako mazito
 

Wacha kunipakazia

Ungaliingia hapo chini kwenye link ., uone kipi nimetukana , na huyo Mkristo mwenzako ameandika kitu gani na umekaa kimya hata umeshindwa kumwambia chochote na pengine unafurahia haswa

Rais Samia na Pope Vatican
 
Wacha kunipakazia

Ungaliingia hapao chini kwenye link . uone kipi nimetukana , na huyo Mkristo mwenzako ameandika kitu gani na umekaa kimya hata umeshindwa kumwambia chochote na pengine unafurahia haswa

Rais Samia na Pope Vatican
Nimekuona kwenye nyuzi nyingine zaidi ya mmoja sio huu wa kwangu ukiwa unaporomosha matusi matusi alafu una-pretend kwamba ni mtu wa Mungu

Hakuna mtu mwenye hofu ya Mungu anayeporomosha matusi hata ukimtukana
 
Nimekuona kwenye nyuzi nyingine zaidi ya mmoja sio huu wa kwangu ukiwa unaporomosha matusi matusi alafu una-pretend kwamba ni mtu wa Mungu

Hakuna mtu mwenye hofu ya Mungu anayeporomosha matusi hata ukimtukana

yako wapi hayo matusi nimeporomosha , mbona unanipakazia ?? Nimekuona nimekuona , WAPIIIII ??
 
Nikupe mfano ili uelewe unamuona Mohamed said hakuna sehemu yeyote ile ametukana mtu japokua watu wanamtukana na kumdhihaki mara nyingi sana
yako wapi hayo matusi nimeporomosha , mbona unanipakazia ?? Nimekuona nimekuona , WAPIIIII ??
 
Ukiangalia kwenye screenshort inaonyesha jinsi gani ulivyokua huna busara na ustarabu
Wewe ni muislamu unaamini dini yako ni sahihi kwanini unatolea shombo mapokeo ya dini nyingine

Sawa kwako wewe ukristo ni dini mbaya iliyopotoka waache sababu ndo maisha waliyochagua

Nikukumbushe kuutolea maneno ya shombo ukristo sio kuukwamisha sababu ulikuwepo kabla hata muhammad hajazaliwa jikite kwenye dini yako
 

Attachments

  • F185A2EF-F1A3-4E3E-BE64-AA0AE6968D54.png
    598.7 KB · Views: 2


Nimetukana kitu gani hapo ?? huyo aliyeandika hapo juu mambo ya uongo hukumuona ??

Mimi sijaukwamisha ukristo naelezea ukweli , kama ni uongo , nijibu kwa hoja

Au ukweli ni mchungu ??

Ukweli utabaki palepale Yesu hakusulubiwa wala hakufa msalabani ,
ushahidi upo kwenye biblia , huu hapa , sikiliza mpaka mwisho


View: https://www.youtube.com/watch?v=x6pF9WG3HaA&pp=ygUoc2hlaWtoIGFiZHVsbGFoaSBhbmQgY2hyaXN0aWFucyBpbiBrZW55YQ%3D%3D
 
Hio video siingali na hata siwezi poteza mb kuiangalia

Neno lako sio sheria wewe endelea kuamini hivyo
Wengine tutaendelea kuamini Yesu alisulibiwa
 
Hio video siingali na hata siwezi poteza mb kuiangalia

Neno lako sio sheria wewe endelea kuamini hivyo
Wengine tutaendelea kuamini Yesu alisulibiwa

Biblia inasema hakusulubiwa

Bwana Yesu Kristo wakati alikamatwa na Mayahudi na alikaribia kuteswa katika mikono ya watu, alimwomba Mungu sana.

Alianguka mbele Yake, alimkumbusha ahadi yake na alilia kuomba msaada wa Mwenyezi Mungu. Biblia inasema kwamba: Yesu alienda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi akaomba akisema; Baba yangu ikiwezekana kikombe hiki
kiniepuke walakini si kama nitakavyo mimi bali kama utakavyo wewe. (Mathayo 26:39).

Bwana Yesu Kristo alikuwa na yakini kwamba maombi yake yamekubaliwa na ndiyo maana alipoona hali imekuwa mbaya zaidi hata kinyume cha matarajio yake, akashangaa kwa kusema “Eloi, Eloi, Lama Sabakthani? Yaani Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniwacha? (Mathayo 27:46 na Marko 15:34).

Alilia hivyo kwa sababu Bwana Yesu alikuwa na yakini ya kukubaliwa maombi yake na ya kupata msaada wa Mwenyezi Mungu. Kwa sababu Mwenyezi Mungu hukubali maombi ya waja wake, na Biblia inashuhudia kwamba maombi ya Bwana Yesu yalikubaliwa, inasema kwamba: “Yeye katika siku hizo za mwili wake alimtolea yule aliyeweza kumuokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na mchozi akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu. (Waebrania 5:7).

Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wa kumuokoa na kuwasalimisha watu, alimwokoa Bwana Yesu pia kutoka kifo cha laana, kikombe cha mauti. Na baada ya kukubaliwa maombi Bwana Yesu alimshukuru sana Mungu wake, “akasema Baba nakushukuru kwa kuwa umenisikia nami nilijua ya kuwa wewe wanisikia siku zote. (Yohana 11:41-42).
 
BIBLIA ya kislamu labda ila ya wakristo alisulubiwa
 
Hio video siingali na hata siwezi poteza mb kuiangalia

Neno lako sio sheria wewe endelea kuamini hivyo
Wengine tutaendelea kuamini Yesu alisulibiwa

Marko 15: 21--24 inasema

King James Version (KJV 1900)



21 And they compel one Simon a Cyrenian, who passed by, coming out of the country, the father of Alexander and Rufus, to bear his cross.

22 And they bring him unto the place Golgotha, which is, being interpreted, The place of a skull.

23 And they gave him to drink wine mingled with myrrh: but he received it not.

24 And when they had crucified him, they parted his garments, casting lots upon them, what every man should take.

25. And it was the third hour, and they crucified him.

Aliyechukuwa msalaba wa Yesu ni Simon baadaye wakamchukuwa huyo Simon mpaka Golgota , wakamnywesha wine , baadaye wakamsulubu

Yesu hapo hakusulubiwa , aliyesulubiwa ni Simon otherwise wapi bwana yesu alirudishiwa wapi msalaba wake kutoka kwa Simon ??
 
Mbona unalazimisha mkuu this is free world we endelea kuamini unachoamini nakubaliana na wewe Yesu wa waislamu hakufa msalabani ila Yesu wa wakristo alikufa msalabani

Usijidanganye kwamba utanisawishi never kwa wakristo Yesu alikufa msalabani na kamwe hutakaa ufanikiwe kubadilisha wayahudi wamejaribu kwa miaka 2000 ila wameshindwa kwa hiyo hata wewe hutaweza
 
Mimi si kazi yangu kumlazimisha Mtu , kazi yangu ni kukuonyesha ukweli , kuamini au kutoamini ni wewe na Allah , mimi nimeshafanya wajibu wangu .
Usije kunishika mashati siku ya hukumu kuwa sikukuambia .
kazi kwako kuamini au kutoamini
 
Mimi si kazi yangu kumlazimisha Mtu , kazi yangu ni kukuonyesha ukweli , kuamini au kutoamini ni wewe na Allah , mimi nimeshafanya wajibu wangu .
Usije kunishika mashati siku ya hukumu kuwa sikukuambia .
kazi kwako kuamini au kutoamini
JIkite kwenye dini yako ya uislamu
Kila mtu atabeba msalaba wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…