Bonge Mpya
Member
- Jul 6, 2021
- 39
- 136
- Thread starter
-
- #21
Sijatangaza BIASHARA ya kutengezeza blog. Nime-share uzoefu wangu kuhusu blog. Kama ulivyosema, sio KAZI rahisi hivyo Na-share uzoefu wangu Ili kama Kuna mtu anapata shida sehemu iwe rahisi kutatua.Umeanzia mbali kweli kweli, lakini hatimae kama ilivyo ada ya mwenda tezi na omo, marejeo ni ngamani, na wewe umerejea ''ngamani'' ambako unatafuta wateja wa kuwatengenezea blog. Kiuhasilia mambo siyo rahisi kama unavyosema hapa. Hii haina tofauti ni kilimo cha online!
Kuna mambo kama hujui ni Bora ukae kimya tu.Bila shaka hao ni matapeli. Hakuna fedha rahisi namna hiyo. Ingekuwa kuna fedha za aina hiyo kuna mabingwa wa kutengeneza na kuendesha blog zilizoenda shule ambao wangekuwa mabilionea kwa hii kazi.
Namesemaje? Nimesema huko ''ku-share'' uzoefu wako umeanzia mbali kweli kweli.🤣 By the way dunia imebakiwa na ''malaika'' wachache sana wenye roho nzuri kama wewe, ambako wako tayari kufundisha watu jinsi ya kuchuma fedha kwa urahisi kabisa.Sijatangaza BIASHARA ya kutengezeza blog. Nime-share uzoefu wangu kuhusu blog. Kama ulivyosema, sio KAZI rahisi hivyo Na-share uzoefu wangu Ili kama Kuna mtu anapata shida sehemu iwe rahisi kutatua.
Kwa kutumia ''ulozi'' wangu nina uhakika kabisa wewe ni hawa ''wakuja'' walioanza kuijua Internet miaka ya karibuni kabisa. Mimi hii game niko kabla ya ''My Space''. Tuko kwenye game tangu enzi za Windows 95!Kuna mambo kama hujui ni Bora ukae kimya tu.
Haijallishi ata kama amaeanza miezi 3 nyuma na amefanikiwa kupata Adsense ni hongera kwake kuliko kukaa mtaani tu bure na kwenda kumchangia mhindi au mchina(kubeti).Kwa kutumia ''ulozi'' wangu nina uhakika kabisa wewe ni hawa ''wakuja'' walioanza kuijua Internet miaka ya karibuni kabisa. Mimi hii game niko kabla ya ''My Space''. Tuko kwenye game tangu enzi za Windows 95!
Wewe unadandia gari kwa mbele! Who said adsense ni utapeli? Adsense siyo utapeli laiki imekuwa ikitumiwa na matapeli wengi sana kupiga watu.Haijallishi ata kama amaeanza miezi 3 nyuma na amefanikiwa kupata Adsense ni hongera kwake kuliko kukaa mtaani tu bure na kwenda kumchangia mhindi au mchina(kubeti).
Wengi ambao hawajui wanasema ni utapelibila Adsense sio utapeli mnavyomuona Millard Ayo anazunguka Dunia ni kwasababu ya ujeur wa Adsense.
Mwananchi, ITV huwa hawamalizii habari wakitaka uende ukasome kwenye Blog or ukatizame video kwenye Channel zao ilimradi tu wapate kipato kupitia Adsense.
Wengine tulifanya Blogging kipind cha nyuma sana na tukafanikiwa kujenga vibanda vyetu kabla ya kukutana na Rungu la GOOGLE ya self click (wakongwe wanaelewa).
Nachotaka kumshaur jamaa hapo ni kuwa:
1.Jitahidi sana kukomaa na contenta za nje mfano contents ambazo ata mtu wa SouthAfrica, kenya ikibd ata USA aweze kuwa mtembeleaji wako utapata CPC kubwa sana.
2.Ongeza nguvu na akili yako kwenye SEO ili uachane na kufanya sharing ya kwenye magroup. Najua vijana weng tu wanapata $100+ kwa kufanya sharing hasa Blog za Ajira ila ni kazi ngumu sana na muda wowote Whatsap wanaweza kuBan number yako.
SEO kama sio mtaalam na msomaji mzur itakuchukua muda mwing sana kujua coz contents nying zipo Technical sana, soma sana vitabu usibase kwenye video.
3. Tengeneza Group/channel ya Telegram ili uwe unapost na kuwa na visitors wako wa uhakika na uwe na uhakika kuwa utawapa madini ya maana ili wasitoke kwenye group lako. Telegram inachukua members weng sana na ukiwa serious utakuja unishukuru.
4.Kuwa na accounts za twitter na facebook ambazo zitakuwa na jina la blog yako na kule uwe ubatoa taarifa kama intro.. wakitaka habar kamili waje kwenye blog yako. Hizi account ukifanya vizur zitakuja kukulipa kwa sponsored Ads.
5. Usitegemee tu Adsense kama njia pekee ya kupata income jaribu njia tofauti tofauti ila hapo uhakikishe blog yako ina visitors wa nje (Tier One countrie), ukiweka Links za Affiliates utakuwa unapata commision ndogo ndogo kwa kuanza.
6. Usiwe mBAHILI sana kutoa hela ili utengeneze pesa, Mfano kuna tools za premium ukinunua ili ikusaidie na pia kwenye kufanya Promo pia usiwe na mkono wa birika ukumbuke hapa Duniani Nothing is free.
Nikupongeze sana kijana kwa hatua hiyo najua ni kazi ngumu sana ila mbeleni utakuja upate Tulizo na wengi watakukatisha tamaa maana weng wao hawajui haya mambo na wanaojua wanakula PESA kimya kimya hawasemagi WABONGO tunajijua tabia zetu.
Hela unazopata jaribu kuwekeza kwenye Fixed Assets na kufanya biashara tofauti tofauti maana bloggers wengi nawajua ikifika tu tarehe 22 Google akishafanya yake wao ni BATA mpaka inaisha hela yote.
kuna watu humu wamesema hvyo jaribu kusoma comments zote ndio maana mm nimeharibu kueleza hvyo, Yawezekana wewe unajua ila kuna watu wakishasikia tu Online wanajua ni utapeli.Wewe unadandia gari kwa mbele! Who said adsense ni utapeli? Adsense siyo utapeli laiki imekuwa ikitumiwa na matapeli wengi sana kupiga watu.
Ni kweli. Kuogopa sana nako hakufai.kuna watu humu wamesema hvyo jaribu kusoma comments zote ndio maana mm nimeharibu kueleza hvyo, Yawezekana wewe unajua ila kuna watu wakishasikia tu Online wanajua ni utapeli.
Leo hii vijana wananunua simu kikuu kwa 150,000 tuachane na (alibaba, ebay nk) na wanaziuza town kwa 250,000 ila ukimwambia mtu kwann na wewe usianze ata taratibu kwa mtaji mdogo anakwambia ONLINE ni UTAPELI.
Mzee kama wewe unajiita ni mtaalam na mzoefu wa muda mrefu tuambie kwenye bandiko lake hili ni mahali gani ametudanganya kuhusu hizo tips anazotumia kumake money.Wewe unadandia gari kwa mbele! Who said adsense ni utapeli? Adsense siyo utapeli laiki imekuwa ikitumiwa na matapeli wengi sana kupiga watu.
Tupe maarifa mkuu tujue makosa na mahala pa kukazaKwa kutumia ''ulozi'' wangu nina uhakika kabisa wewe ni hawa ''wakuja'' walioanza kuijua Internet miaka ya karibuni kabisa. Mimi hii game niko kabla ya ''My Space''. Tuko kwenye game tangu enzi za Windows 95!
Mkuu ubarikiwe sanaHaijallishi ata kama amaeanza miezi 3 nyuma na amefanikiwa kupata Adsense ni hongera kwake kuliko kukaa mtaani tu bure na kwenda kumchangia mhindi au mchina(kubeti).
Wengi ambao hawajui wanasema ni utapelibila Adsense sio utapeli mnavyomuona Millard Ayo anazunguka Dunia ni kwasababu ya ujeur wa Adsense.
Mwananchi, ITV huwa hawamalizii habari wakitaka uende ukasome kwenye Blog or ukatizame video kwenye Channel zao ilimradi tu wapate kipato kupitia Adsense.
Wengine tulifanya Blogging kipind cha nyuma sana na tukafanikiwa kujenga vibanda vyetu kabla ya kukutana na Rungu la GOOGLE ya self click (wakongwe wanaelewa).
Nachotaka kumshaur jamaa hapo ni kuwa:
1.Jitahidi sana kukomaa na contenta za nje mfano contents ambazo ata mtu wa SouthAfrica, kenya ikibd ata USA aweze kuwa mtembeleaji wako utapata CPC kubwa sana.
2.Ongeza nguvu na akili yako kwenye SEO ili uachane na kufanya sharing ya kwenye magroup. Najua vijana weng tu wanapata $100+ kwa kufanya sharing hasa Blog za Ajira ila ni kazi ngumu sana na muda wowote Whatsap wanaweza kuBan number yako.
SEO kama sio mtaalam na msomaji mzur itakuchukua muda mwing sana kujua coz contents nying zipo Technical sana, soma sana vitabu usibase kwenye video.
3. Tengeneza Group/channel ya Telegram ili uwe unapost na kuwa na visitors wako wa uhakika na uwe na uhakika kuwa utawapa madini ya maana ili wasitoke kwenye group lako. Telegram inachukua members weng sana na ukiwa serious utakuja unishukuru.
4.Kuwa na accounts za twitter na facebook ambazo zitakuwa na jina la blog yako na kule uwe ubatoa taarifa kama intro.. wakitaka habar kamili waje kwenye blog yako. Hizi account ukifanya vizur zitakuja kukulipa kwa sponsored Ads.
5. Usitegemee tu Adsense kama njia pekee ya kupata income jaribu njia tofauti tofauti ila hapo uhakikishe blog yako ina visitors wa nje (Tier One countrie), ukiweka Links za Affiliates utakuwa unapata commision ndogo ndogo kwa kuanza.
6. Usiwe mBAHILI sana kutoa hela ili utengeneze pesa, Mfano kuna tools za premium ukinunua ili ikusaidie na pia kwenye kufanya Promo pia usiwe na mkono wa birika ukumbuke hapa Duniani Nothing is free.
Nikupongeze sana kijana kwa hatua hiyo najua ni kazi ngumu sana ila mbeleni utakuja upate Tulizo na wengi watakukatisha tamaa maana weng wao hawajui haya mambo na wanaojua wanakula PESA kimya kimya hawasemagi WABONGO tunajijua tabia zetu.
Hela unazopata jaribu kuwekeza kwenye Fixed Assets na kufanya biashara tofauti tofauti maana bloggers wengi nawajua ikifika tu tarehe 22 Google akishafanya yake wao ni BATA mpaka inaisha hela yote.
Watanzania wengi hatuko informed juu ya mambo mengi. Huyo anafanya blogging na pesa anaipata voa Google adsense, narudia tena Google adsense. Biàshara kubwa ya Google ni matangazo.Kanikumbusha platform moja inaitwa Quiz Money, Ilinimalizia bundle karibu la 20K kisambaza link zao kwenye social media, pia kualika marafiki! Mwisho wa siku nikatengeneza hadi 1.7M, kwenye ku withdraw wakanambia account yako haijaidhinishwa! Nikaambiwa kulipia 60,000 ya kufufua account au nisubiri miezi miwili, nikaisubiri! Mwisho wa siku wananambia account yako ni batili!
Dah!!
Sitaki tena kusikia kitu kutengeneza pesa mtandaoni!
Kutengeneza blog ikawa nzuri kwa kuitazama hakumaanishi itakupatia pesa.Bila shaka hao ni matapeli. Hakuna fedha rahisi namna hiyo. Ingekuwa kuna fedha za aina hiyo kuna mabingwa wa kutengeneza na kuendesha blog zilizoenda shule ambao wangekuwa mabilionea kwa hii kazi.
Mimi nakushukuru kwa somo ulilonipa Whatsapp maana kuna vitu vingi nilikuwa navijua kwa juu ila practical wise nilikuwa sivijui. Ubarikiwe sana.Umeelewa vibaya...1000 ni Clicks napata kutoka Google.
Katika maandishi yangu kuna sehemu nimesema ''blog nzuri kwa kiitazama''? Mimi nimetumia maneno ''blog iliyoenda shule''. Na blog iliyoendesha shule ndiyo yenye hayo mambo ya kitaalam ambayo wewe unadhani unayajua sana kumbe pengine unajua basics tu. Mimi ninachotahadharisha ni hii ''rahisisha kupiga fedha'' ya wabongo wanaoipigia debe kupitia kwenye blog!Kutengeneza blog ikawa nzuri kwa kuitazama hakumaanishi itakupatia pesa.
Kwenye blogging kuna mambo mengi huwezi kuyaelewa mpaka uingie ufanye research.
Kuna kitu kinaitwa SEO kasome. Hicho nidcho kina determine Google ita rank vipi page yako na upate traffick.
Unaweza kuwa unapgar inavutia kwa macho lakini haipati traffick kwasababu Google haioni kama ni informative hivyo hata watu wakiwa wanasearch hawaioni.
Kuna watu wanatengeneza mamilioni ya pesa kupitia blogging hasa walioko nje ya Tanzania huko ulaya na marekani kwasababu wanapata traffic yenye rate kubwa ya malippo.
Narudia tena, uzuri wa kuvutia kwa macho kwa blog, siyo kigezo cha kuingiza pesa. Traffic unayopata ndiyo inakupa pesa maana lengo la Google kukulipa inakulipa kutokana na matangazo yao yanafikia watu wangapi.
Google na facebook/meta biashara yao ni matangazo na ndiyo maana karibu bidhaa zake zao ni za bure kutumia, wao ela wanaipiga kwenye matangazo na wanashare na publishers hayo malipo. So blogger ni publisher.
Na ondoa hilo neno kuwa ni kazi rahisi, siyo rahisi kama unavyofikiria.
Si kwamba nayajua sana ila najua jua kuwa blog inalipa kwa traffic, kuvuta traffic ya maana ndiyo kazi ilipo maana content ndiyo shida.Katika maandishi yangu kuna sehemu nimesema ''blog nzuri kwa kiitazama''? Mimi nimetumia maneno ''blog iliyoenda shule''. Na blog iliyoendesha shule ndiyo yenye hayo mambo ya kitaalam ambayo wewe unadhani unayajua sana kumbe pengine unajua basics tu. Mimi ninachotahadharisha ni hii ''rahisisha kupiga fedha'' ya wabongo wanaoipigia debe kupitia kwenye blog!