Natumia Blog kupata PESA. Hivi ndivyo ninavyopata VIEWS

Hongera kwa uthubutu na kuanaza,

Zinagatio Post nzuri , Title zenye keyword nzuri , SEO... SEO....SEO

Boresha muonekano zaidi wa Mobile Friendly/iwe very Responsive

Kama unapats viewers kutoka "mbele" huko kwenye watumiaji wa amazon.
Juinge na amazon Affiliate marketing ili uwena uwezo wa kupost product zao direct kwenye blog yako , watu wakinunua unapata commission!,
Inaweza kuaa digita product /physical products

Kikubwa zingatia unchokitangaza kinarelate na blog yako/post zako !
 
Mzee sidhani kama kafanya Jambo lolote baya hapa! jambo analofundisha ni la msingi sana kwa Bloggers, Kama unaona Huelewi uzi kaa mbali nao, usijitie ujuaji wa kutaka kuongea kila mahali hata usipojua watu wanaongelea nini!
Jamaa kuna kitu anasaidia lakini watu wasiojua kitu wanampinga, kama haujui hizi habari uliza, tafiti n.k sio unamshambulia jamaa bure, umefanya vizuri USSR anamkosea sana huyu binge mpya
 
Hii ni elimu kubwa Sana.
 
Kuna watu mliletwa duniani kwa kazi mahususi kongore mkuu
 
Mimi ningependa kufaham ni blog platform gani hiyo unayoitumia?Inakubali lugha ya Kiswahili?Na malipo yake unayapokea namna gani?
 
💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥
💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥
1️⃣ 25 NVMe SSD Storage
2️⃣ Free Website Migration/Transfer
3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x)
4️⃣ Kama Unaitaji (Landing Page) au PHP Script yoyote, tuta-install Bure

⚡️ Usikose ofa hii ya kipekee!.
📞Tupigie: 0780 707 771

NetFasta
💨 Tumezingatia Speed Na Security:
✔️ NVMe SSD Storage
✔️ LiteSpeed Server
✔️ Unlimited Bandwidth
✔️ Imunify360 (Malware Detection and Removal)
✔️ Free SSL Certificates .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…