Natumia jukwaa hili kutoa ofa ya Vocha bila kutaja mtandao, atakayeipata imsaidie

Natumia jukwaa hili kutoa ofa ya Vocha bila kutaja mtandao, atakayeipata imsaidie

Igwe Kingdom

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
317
Reaction score
590
Nakumbuka kuna kipindi nilikua natafuta kazi nko jobless mambo hayaendi, nyenzo kubwa ilikua vocha ili niweze ku access Internet lakin kuna mda nilikosa hyo vocha ili niendelee na mapambano.

Namshukuru Mungu alinichagua kwa Walio wengi apa nilipo ni rehema zake.

Nitakua natoa vocha bila kutaja ni mtandao gani atakae pata na apate ili imsaidie.

Wadau wengine karbuni.
 
Nakumbuka kuna kipindi nilikua natafta kazi nko jobless mambo hayaendi,nyenzo kubwa ilikua vocha ili niweze ku access Internet lakin kuna mda nilikosa hyo vocha ili niendelee na mapambano..! Namshukuru Mungu alinichagua kwa Walio wengi apa nilipo ni rehema zake.
Nitakua natoa vocha bila kutaja ni mtandao gani atakae pata na apate ili imsaidie.
Wadau wengine karbuni.
Weka hiyo Vocha
 
Back
Top Bottom