Natumia jukwaa hili kutoa ofa ya Vocha bila kutaja mtandao, atakayeipata imsaidie

Natumia jukwaa hili kutoa ofa ya Vocha bila kutaja mtandao, atakayeipata imsaidie

image-2023-03-11-7:58:30-731 PM.jpg

Samahani mkuu
Sikufoc ila naomba uharakishe kisimu kitazima
 
Nakumbuka kuna kipindi nilikua natafuta kazi nko jobless mambo hayaendi, nyenzo kubwa ilikua vocha ili niweze ku access Internet lakin kuna mda nilikosa hyo vocha ili niendelee na mapambano.

Namshukuru Mungu alinichagua kwa Walio wengi apa nilipo ni rehema zake.

Nitakua natoa vocha bila kutaja ni mtandao gani atakae pata na apate ili imsaidie.

Wadau wengine karbuni.
Fanya upesi kutukumbuka kwenye ufalme wako sisi wahitaji wa vocha wa kwanza nikiwa mimi
 
Back
Top Bottom