Natumia jukwaa hili kutoa ofa ya Vocha bila kutaja mtandao, atakayeipata imsaidie

Natumia jukwaa hili kutoa ofa ya Vocha bila kutaja mtandao, atakayeipata imsaidie

Mda wowote vocha naweka apa ujanja kuwahi
Tupo hapa tunazisubiria hizo vocha mkuu, we ikiwezekena usimwage moja moja mwaga zote tu atakaepata na apate, si umesema za 20,000 mwaga zote zitagombaniwa zote hadi ziishe
 
Ccm njooni huku muone jinsi mlivyowatia ufukara Watanzania mpaka vitu basic kama airtime nayo ni issue.

Na wewe uliyeanzisha hii topic hebu bahave, ziko njia nyingi sana za kufanya thanks giving kuliko hii.
mkuu huku tunapoenda kama mtu anatumia smartphone basi huduma ya internet ni kitu cha lazima yani ni kama internet inaenda kuwa moja ya human basic needs, acha huu mpambano uendelee tu hizi buku buku hapa ni muhimu asee.
 
Linda utu wako kwa gharama yoyote ile, no matter what.

Huu unaotetea hapa ni ujinga mtupu, kama shida yako ni bundle kwa nini usitumie VPN uweze kuaccess internet bure?
 
Nakumbuka kuna kipindi nilikua natafuta kazi nko jobless mambo hayaendi, nyenzo kubwa ilikua vocha ili niweze ku access Internet lakin kuna mda nilikosa hyo vocha ili niendelee na mapambano.

Namshukuru Mungu alinichagua kwa Walio wengi apa nilipo ni rehema zake.

Nitakua natoa vocha bila kutaja ni mtandao gani atakae pata na apate ili imsaidie.

Wadau wengine karbuni.
Au na wewe unataka views na likes kama yule Chaliifrancisco !!?
 
Back
Top Bottom