Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Muda wa maongeziVocha ya pembejeo ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda wa maongeziVocha ya pembejeo ama?
Sa si ungesema mapema? Kavu kweli we jamaaMuda wa maongezi
Anayetoa sio mimi mwenyewe nategaSa si ungesema mapema? Kavu kweli we jamaa
Sa Mimi naipata vipi hiyo vocha?
Mkuu hio njia nilikuwa natumiaga kupata pisi za kishua nilikuwa naenda supermarket za kishua pisi ikinunua vocha tu ikatupa naingiza napata namba 5 za mwisho Kama ulivyo fanya ww alafu napiga 100 nawatajia namba ya vocha wao wananiambia hio vocha ishaingizwa kwenye namba wao wananipa 5 za mwanzo naunga naanza tongozoNamba mwisho 90083 unadhambi
Mkuu 😍🤣🤣🤣🔥Mkuu hio njia nilikuwa natumiaga kupata pisi za kishua nilikuwa naenda supermarket za kishua pisi ikinunua vocha tu ikatupa naingiza napata namba 5 za mwisho Kama ulivyo fanya ww alafu napiga 100 nawatajia namba ya vocha wao wananiambia hio vocha ishaingizwa kwenye namba wao wananipa 5 za mwanzo naunga naanza tongozo
TOA ya halotel mkuu utakuwa umetusidia Sana wa maporinNitakua natoa vocha mda wowote.
hahahaha
We muhuni we mwambaaaaMkuu hio njia nilikuwa natumiaga kupata pisi za kishua nilikuwa naenda supermarket za kishua pisi ikinunua vocha tu ikatupa naingiza napata namba 5 za mwisho Kama ulivyo fanya ww alafu napiga 100 nawatajia namba ya vocha wao wananiambia hio vocha ishaingizwa kwenye namba wao wananipa 5 za mwanzo naunga naanza tongozo
Hapa kuna madonKuna vilaza au majiniasi😂😂😂
hii mbona ishatumika ? weka ingine385886593482101
Kila mwisho wa mwezi nitakua natoa vocha ya elfu 2o asilimi kumi ya vocha yangu nayopewa kazin.Nakumbuka kuna kipindi nilikua natafuta kazi nko jobless mambo hayaendi, nyenzo kubwa ilikua vocha ili niweze ku access Internet lakin kuna mda nilikosa hyo vocha ili niendelee na mapambano.
Namshukuru Mungu alinichagua kwa Walio wengi apa nilipo ni rehema zake.
Nitakua natoa vocha bila kutaja ni mtandao gani atakae pata na apate ili imsaidie.
Wadau wengine karbuni.
Mda ndio huu mkuu weka hio vocha igombewe wa kwanza kuweiweka ndio mjanjaNitakua natoa vocha mda wowote.
Elfu 20? Vocha ya bando km bando au la Pembejeo za kiljmo?Kila mwisho wa mwezi nitakua natoa vocha ya elfu 2o asilimi kumi ya vocha yangu nayopewa kazin.
mkuu kwaiyo kwa leo ndio umeshamaliza au uanendelea ?Kila mwisho wa mwezi nitakua natoa vocha ya elfu 2o asilimi kumi ya vocha yangu nayopewa kazin.
Nimeweka tyariMda ndio huu mkuu weka hio vocha igombewe wa kwanza kuweiweka ndio mjanja