Igwe Kingdom
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 317
- 590
Weka hiyo VochaNakumbuka kuna kipindi nilikua natafta kazi nko jobless mambo hayaendi,nyenzo kubwa ilikua vocha ili niweze ku access Internet lakin kuna mda nilikosa hyo vocha ili niendelee na mapambano..! Namshukuru Mungu alinichagua kwa Walio wengi apa nilipo ni rehema zake.
Nitakua natoa vocha bila kutaja ni mtandao gani atakae pata na apate ili imsaidie.
Wadau wengine karbuni.
Yaani!! Halafu nafungua uzi nakutana na porojo tuππππIlibaki kidogo nianguke kukimbilia vocha ππ
YaaaniYaani!! Halafu nafungua uzi nakutana na porojo tuππππ
Umepata?Barikiwa
HapanaUmepata?
Jamaa umechekeshaIlibaki kidogo nianguke kukimbilia vocha ππ