Ccm njooni huku muone jinsi mlivyowatia ufukara Watanzania mpaka vitu basic kama airtime nayo ni issue.
Na wewe uliyeanzisha hii topic hebu bahave, ziko njia nyingi sana za kufanya thanks giving kuliko hii.
Akili zako unazijua menyewe 🤣🤣Ilibaki kidogo nianguke kukimbilia vocha 😀😀
Pamoja mkuu, usiku mwemaMkuu sio wote unaowaona wanacomment kwenye nyuzi mbofu mbofu ukijilinganisha nao kila mtu ana time zake wengine wanarefresh mind tu si kwamba ndivyo walivyo don't take it personal, ingawa kweli wale wa kufake pia wapo Bill Lugano nasema UONGO hapo?
Sawa mkuu ndugu, karibu tenaPamoja mkuu, usiku mwema
Galasa hiliHaya sasa wakuu zamu ya watu wa airtel, vocha ya elfu 2 ishini nayo hiyo.
473638364833
Ungeniona ungenihurumia nakwambiaAkili zako unazijua menyewe 🤣🤣
Yote sababu ya vocha na high hills zako 😁Ungeniona ungenihurumia nakwambia
😀😀😀😀mie kurupu simu ndogo ikwapi aaah kume nimechelewaYote sababu ya vocha na high hills zako 😁
😂 ishatoka.?😀😀😀😀mie kurupu simu ndogo ikwapi aaah kume nimechelewa
Huoni asantee huko juu😂 ishatoka.?
Sijapitia comments nyingiHuoni asantee huko juu
Jamani Dr usikatishe tamaa watu acha vijana wapande bundleCcm njooni huku muone jinsi mlivyowatia ufukara Watanzania mpaka vitu basic kama airtime nayo ni issue.
Na wewe uliyeanzisha hii topic hebu bahave, ziko njia nyingi sana za kufanya thanks giving kuliko hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cjui nacheka nn lolstaki kuamni kama hizi comment zote ni za watu wanaohitaji bandle? yaan vocha ya buku? aseeh hakika kuna kitu cha kujifunza hapa, vocha ya buku inapambaniwa hivyo?????
Wanaogombea vocha hapa wote ni wanaume, mademu siwaoni, halafu watu wakiamka wanaandika kataa ndoa, kumbe tatizo ni matunzo ya mke hakuna, vocha yenyewe shida,