Natumia mbinu gani kuzuia mtu asile nauli au kuuza tiketi?

Natumia mbinu gani kuzuia mtu asile nauli au kuuza tiketi?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
wakuu,,
Kuna manzi inasema niitumie nauli ije kutoka mko x! Nawasiwasi isije nizima.

Mbinu gan nitumie asile nauli
wala nikimkatia tiket asiuze
 
Ongea na kampuni husika ya bus ulilotaka kumkatia tiketi wamteke vinginevyo huyo demu haji
 
Back
Top Bottom