Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu.
Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer...
Mwanamke mmoja wa Nigeria anayeenda kwa jina la Jennifer, amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume Emmanuel 30,000 ambayo alitumiwa kisha hakwenda eneoo la tukio kuonana na mwanamume huyo.
Jen haamini macho yake 🤣...
Mwanamke mmoja wa Nigeria amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume 30,000 ambayo alitumiwa na mwanaume Emmanuel kisha hakwenda kwa mwanamume huyo.
Mwanamke huyo alishtakiwa na mwanaume ambae alituma nauli hiyo kwa kusema...
Wanaume wa Mkoa wa Mwanza wanaongoza kwa kuliwa Pesa za Nauli wanazowatumia Wanawake pale wanapowatongoza au kuwahitaji Kimapenzi na Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ndoyo Wanaongoza kwa kula Nauli wanazotumiwa na Wanaume ambao Wamewatongoza au wanawahiotajio Kimapenzi.
Hii ni kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.