kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Mwanamke mmoja wa Nigeria amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume 30,000 ambayo alitumiwa na mwanaume Emmanuel kisha hakwenda kwa mwanamume huyo.
Mwanamke huyo alishtakiwa na mwanaume ambae alituma nauli hiyo kwa kusema alimtumia nauli mwanamke huyo lakini baada ya kutuma nauli mwanamke huyo hakuweza kwenda.
Mahakama imemkuta na hatia mwanamke huyo na kumfunga miaka 7 jela aidha amlipe Emmanuel N420,000😂🙌🏻