Mwanamke ahukumiwa kwa kula nauli ya mwanaume, Nigeria

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
3,003
Reaction score
8,385
Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu.

Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer alipokea ₦30,000 sawa na Shilingi 490,000 kutoka kwa kijana aitwaye Emmanuel, aliyedai kumtumia fedha hizo kwa ajili ya nauli ya kumtembelea nyumbani kwake, hata hivyo, baada ya kupokea fedha hizo, Jennifer hakufika kama walivyokubaliana na baadaye akakata mawasiliano.

Emmanuel aliwasilisha malalamiko mahakamani, akieleza kuwa kitendo hicho kilikuwa ni aina ya utapeli wa kifedha, baada ya kusikiliza ushahidi, mahakama iliamua kwamba hatua ya Jennifer ilikuwa ni udanganyifu na unyonyaji wa kifedha, hivyo kumlipa Emmanuel fidia kubwa zaidi ya kiasi alichotapeliwa awali.

Hakimu aliyesikiliza shauri hilo alisisitiza kwamba visa vya utapeli wa nauli ya usafiri vimekuwa vikiongezeka na vinachukuliwa kama aina ya uhalifu wa kimtandao na aliongeza kuwa hukumu hiyo imelenga kuwa fundisho na onyo kwa wengine wanaojihusisha na vitendo hivyo.

Jennifer sasa anatakiwa kulipa faini ya ₦450,000, na endapo atashindwa kufanya hivyo, atakabiliwa na hatua zaidi za kisheria.

Chanzo: MillardAyoUPDATES
 
Attachments

  • Screenshot_20250828-103708.jpg
    Screenshot_20250828-103708.jpg
    282.7 KB · Views: 42
NRA wakate kodi kwenye hiyo faini coz kuna biashara ilikuwa inaenda kufanyika..!!
 
Mnaona sasa ma'simp, hii ndio namna ya kuwajibisha mwanamke tapeli. Amekula pesa yako halafu akaenda kinyume na melekezo unampeleka mahakamani adeal na matokeo ya tabia yake mwenyewe.

Sasa wewe mwanamke anakula pesa yako unabakia unakenua meno kinafiki anakujia tena anakubomu nyingine tena na tena unakalia kukenua meno. Mwisho wa siku anaanza kukukwepa maana anaanza kujistukia "hili jinga lipo serious na maisha kweli kila siku nalitapeli lenyewe linaamini nalipenda"

Acheni usimp wanawake wa hovyo wanawatumia ninyi kama egemeo la gharama za kimaisha bila faida yoyote upande wenu.

Hizo pesa pelekea yatima utapata baraka mbinguni na duniani, mtumie mama yako, mtumie rafiki yako ambaye anakupambania sana ukiwa umekwama. Achana na usimp, wanawake huwa hawawapendi masimp wanawatumia tu kwa haja zao.

Kuna huyu MamaSamia2025 , wanawake huyu tumewapa kama sadaka, mtumieni tu hadi siku aumie kisawa sawa afanye tukio la aibu. Hakikisheni mnakausha damu.
 
Kama nawaona wadada wa kibongo wakiongozwa na brigedia Fetty wa kikosi cha kula nauli jinsi wanavyosonya😀😀😀😀
 
Mnaona sasa ma'simp, hii ndio namna ya kuwajibisha mwanamke tapeli. Amekula pesa yako halafu akaenda kinyume na melekezo unampeleka mahakamani adeal na matokeo ya tabia yake mwenyewe.

Sasa wewe mwanamke anakula pesa yako unabakia unakenua meno kinafiki anakujia tena anakubomu nyingine tena na tena unakalia kukenua meno. Mwisho wa siku anaanza kukukwepa maana anaanza kujistukia "hili jinga lipo serious na maisha kweli kila siku nalitapeli lenyewe linaamini nalipenda"

Acheni usimp wanawake wa hovyo wanawatumia ninyi kama egemeo la gharama za kimaisha bila faida yoyote upande wenu.

Hizo pesa pelekea yatima utapata baraka mbinguni na duniani, mtumie mama yako, mtumie rafiki yako ambaye anakupambania sana ukiwa umekwama. Achana na usimp, wanawake huwa hawawapendi masimp wanawatumia tu kwa haja zao.

Kuna huyu MamaSamia2025 , wanawake huyu tumewapa kama sadaka, mtumieni tu hadi siku aumie kisawa sawa afanye tukio la aibu. Hakikisheni mnakausha damu.
Ndugu feminist wa kiume naona unawashwawashwa.
 
Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu.

Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer alipokea ₦30,000 sawa na Shilingi 490,000 kutoka kwa kijana aitwaye Emmanuel, aliyedai kumtumia fedha hizo kwa ajili ya nauli ya kumtembelea nyumbani kwake, hata hivyo, baada ya kupokea fedha hizo, Jennifer hakufika kama walivyokubaliana na baadaye akakata mawasiliano.

Emmanuel aliwasilisha malalamiko mahakamani, akieleza kuwa kitendo hicho kilikuwa ni aina ya utapeli wa kifedha, baada ya kusikiliza ushahidi, mahakama iliamua kwamba hatua ya Jennifer ilikuwa ni udanganyifu na unyonyaji wa kifedha, hivyo kumlipa Emmanuel fidia kubwa zaidi ya kiasi alichotapeliwa awali.

Hakimu aliyesikiliza shauri hilo alisisitiza kwamba visa vya utapeli wa nauli ya usafiri vimekuwa vikiongezeka na vinachukuliwa kama aina ya uhalifu wa kimtandao na aliongeza kuwa hukumu hiyo imelenga kuwa fundisho na onyo kwa wengine wanaojihusisha na vitendo hivyo.

Jennifer sasa anatakiwa kulipa faini ya ₦450,000, na endapo atashindwa kufanya hivyo, atakabiliwa na hatua zaidi za kisheria.

Chanzo: MillardAyoUPDATES
Mmmmh, coincidence ?, mbona kama inanihusu kabisa hii duh😁😁😎, majina the same yote, kasoro lengo tu, na kiasi ni karibu ichoicho. dunia ngumu sana hii.
 
images (13).jpeg

Ndugu feminist wa kiume naona unawashwawashwa.
Feminist wana relate na wanawake. Mimi ninachoongea unaona kinavuta mambo ya kike?

Ni wewe ndie una mambo ya kike kutetea mfumo ambao unawafaidisha wanawake wasio na malengo mazuri kwa wanaume ukijitetea kuwa ni chaguo binafsi.

Acha usimp unapenda sana kutumika haina masilahi hiyo.
 
View attachment 3456237

Wewe ni wa kike kwenye umbo la kiume. Ulishindwa kuandika comment yako bila kunitag? Wanawake ndo hupenda maneno maneno. Wewe una hiyo tabia
 
Kwasababu so far wewe ndio Simp ambaye anajionesha wazi wazi kwa kukasirika ninaposemea na kukemea tabia za kisimp.

Sasa kwanini nisikutag na kukuexpose publicly?🤔

Wewe ni simp na ni tatizo katika jamii. Simp hana sifa za kiume anakuwa ni Mwanaume kijinsia ila tabia sio za kiume.

So go ahead and continue simping while i educate the curious minds.

Stop simping

IMG_20250801_090950.png
 
View attachment 3456285
Naomba nitumie namba yako ya simu PM ili tukutane uso kwa uso unishauri zaidi kuhusu hayo mambo unayonituhumu nayo.
 
Sijui kama unajua mantra yangu. Siivi na masimp, mafeminist na masingle mother. Kwasababu ni tatizo kwangu. Sasa sijui wapi unapata wazo la kutaka kuwasiliana na mimi au kukutana.

Acha kusimp uwe sawa.

images (15).jpeg
 
Back
Top Bottom