Natumia uungwana, huna tatizo la nguvu za kiume, ni mwoga.

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Kama ilivyo kawaida. Kwema ndugu zangu wa JF?

Aisee, wanaume wenzangu wanalalamika sana humu ndani, kuhusiana na tatizo la nguvu za kiume, ikiwemo kushindwa kusimamisha uume kwa uimara, au kushindwa kusimamisha kabisa, wawapo faragha.

Mimi siyo daktari, ila kuliko kufaidika mwenyewe kimya kimya na mbinu hii ya kiume, ni bora niitoe kwa wengine. Wengi wanasingizia punyeto. Hapana.

UOGA

Kwa kweli vijana wa sasa ukikutana nao, miongoni mwa vitu utakavyovi-spot from the very first sight, ni UOGA na INSECURITIES, possibly.

Sasa kama vijana ni waoga hata kwa kuwaangalia tu unagundua, vipi kuhusu ujasiri na kujiamini wawapo kitandani na wenza wao?

Vijana wamekuwa na maneno mengi sana mdomoni, kutamba kwingi, ujuaji mwingi, ila wakiwa 'mtu mbili' na watoto wa kike kitandani, ujanja wote kwisha, hali inayopelekea kujichekesha chekesha pasina sababu, kutetemeka na hatimaye kushindwa kusimamisha kwa uimara, au kushindwa kabisa.

Sasa, kutibu tatizo hili, ambalo mainly vijana linawapata kwa sababu ya uoga, kwa kuwa hii ni TIBA ya SAIKOLOJIA, na inaweza kuonekana ni tofauti na mlengi wa kichwa cha mada, hakuna tatizo. Anza kubadilisha mtazamo kwenye vitu vifuatavyo:

1. ACHA ku-post post status WhatsApp kila dakika.
Mtoto wa kiume anza kuishi kiume, HUNA biashara ya msingi, acha ku-post post hovyo status zako WhatsApp za kulia lia, za kuweka vikopa na vingine vinavyofanana na hivyo. Mtoto wa kiume kwa lisaa usha-post updates 50? ACHA.

2. Ipitie profile pic yako WhatsApp na uiangalie.
Kama ina 'kakijana' ka kizungu kameshikana na 'kenzie' ka kike halafu vimegeuka vinaangalia ufukweni, BADILISHA. Kama ina 'kamdoli' ka namna yoyote, BADILISHA. Mfano wa picha upo hapo chini, vijana mnakuwa malofa sana.👇

3. Punguza msururu wa marafiki wa kike ambao huna future nao.
Unakuwa na marafiki 14 wa kike, na huna future nao, wa nini? Mostly, stori mtapiga ni za umbea, kusengenya na kucheka cheka kipuuzi. Cut them off. Uwe na wachache muhimu tu, au usiwe nao kabisa.

4. Acha kuwasikiliza motivational speakers wa dawa za nguvu za kiume.
Acha kabisa. Ukiwasikiliza, utakuwa distracted, utatolewa kwenye reli, utaaminishwa huna nguvu kabisa na ni mbovu, ili uliwe hela zako. Hii ni aina ya MIND CONTROLLING GAME hawa wapuuzi wanaicheza kwa wanaume LOW MINDED (Niliwahi kuzungumzia hili kwenye uzi wangu fulani).

5. Ona kawaida ku-perform poorly.
Ukiona kawaida ku-underperform, itakujengea ujasiri wa kutokuwa na papara na mawenge mawenge uwapo faragha. Itakupa utulivu(mahali ambapo ndipo uamsho wa nguvu za kiume ulipo).
Usikamie show, kuwa kawaida.

6. Ilibidi nile kimya kimya, ila kwa kuwa leo ni Jumapili, acha niwamegee hizo stuffs vijana.
Kula vizuri. Hili halina haja ya kujadiliwa sana, linaimbwa kila siku.
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    6.5 KB · Views: 7
  • images.jpeg
    images.jpeg
    12.4 KB · Views: 7
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    7 KB · Views: 7
Mkuu kwanza habari ya jumapili!

Pili pole kwa kuchukizwa na tabia mbovu za vijana wa sasa.

Umeongea mambo sahihi, kiukweli yanakera lakini kosa lako ni moja hujayahusisha na Tafiti za kisayansi ili tujue vinahusiana vipi na tatizo la nguvu za kiume.

Ningependa huu uzi uujazie nyama kidogo, kwa kila pointi hapo uhusishe na uthibitisho wa kitaalamu.

Ahsante!
 
Kama ilivyo kawaida. Kwema ndugu zangu wa JF?

Aisee, wanaume wenzangu wanalalamika sana humu ndani, kuhusiana na tatizo la nguvu za kiume, ikiwemo kushindwa kusimamisha uume kwa uimara, au kushindwa kusimamisha kabisa, wawapo faragha.

Mimi siyo daktari, ila kuliko kufaidika mwenyewe kimya kimya na mbinu hii ya kiume, ni bora niitoe kwa wengine. Wengi wanasingizia punyeto. Hapana.

UOGA

Kwa kweli vijana wa sasa ukikutana nao, miongoni mwa vitu utakavyovi-spot from the very first sight, ni UOGA na INSECURITIES, possibly.

Sasa kama vijana ni waoga hata kwa kuwaangalia tu unagundua, vipi kuhusu ujasiri na kujiamini wawapo kitandani na wenza wao?

Vijana wamekuwa na maneno mengi sana mdomoni, kutamba kwingi, ujuaji mwingi, ila wakiwa 'mtu mbili' na watoto wa kike kitandani, ujanja wote kwisha, hali inayopelekea kujichekesha chekesha pasina sababu, kutetemeka na hatimaye kushindwa kusimamisha kwa uimara, au kushindwa kabisa.

Sasa, kutibu tatizo hili, ambalo mainly vijana linawapata kwa sababu ya uoga, kwa kuwa hii ni TIBA ya SAIKOLOJIA, na inaweza kuonekana ni tofauti na mlengi wa kichwa cha mada, hakuna tatizo. Anza kubadilisha mtazamo kwenye vitu vifuatavyo:

1. ACHA ku-post post status WhatsApp kila dakika.
Mtoto wa kiume anza kuishi kiume, HUNA biashara ya msingi, acha ku-post post hovyo status zako WhatsApp za kulia lia, za kuweka vikopa na vingine vinavyofanana na hivyo. Mtoto wa kiume kwa lisaa usha-post updates 50? ACHA.

2. Ipitie profile pic yako WhatsApp na uiangalie.
Kama ina 'kakijana' ka kizungu kameshikana na 'kenzie' ka kike halafu vimegeuka vinaangalia ufukweni, BADILISHA. Kama ina 'kamdoli' ka namna yoyote, BADILISHA. Mfano wa picha upo hapo chini, vijana mnakuwa malofa sana.👇

3. Punguza msururu wa marafiki wa kike ambao huna future nao.
Unakuwa na marafiki 14 wa kike, na huna future nao, wa nini? Mostly, stori mtapiga ni za umbea, kusengenya na kucheka cheka kipuuzi. Cut them off. Uwe na wachache muhimu tu, au usiwe nao kabisa.

4. Acha kuwasikiliza motivational speakers wa dawa za nguvu za kiume.
Acha kabisa. Ukiwasikiliza, utakuwa distracted, utatolewa kwenye reli, utaaminishwa huna nguvu kabisa na ni mbovu, ili uliwe hela zako. Hii ni aina ya MIND CONTROLLING GAME hawa wapuuzi wanaicheza kwa wanaume LOW MINDED (Niliwahi kuzungumzia hili kwenye uzi wangu fulani).

5. Ona kawaida ku-perform poorly.
Ukiona kawaida ku-underperform, itakujengea ujasiri wa kutokuwa na papara na mawenge mawenge uwapo faragha. Itakupa utulivu(mahali ambapo ndipo uamsho wa nguvu za kiume ulipo).
Usikamie show, kuwa kawaida.

6. Ilibidi nile kimya kimya, ila kwa kuwa leo ni Jumapili, acha niwamegee hizo stuffs vijana.
Kula vizuri. Hili halina haja ya kujadiliwa sana, linaimbwa kila siku.
Umeandika kwa hisia bila uthibitisho wowote wa kisayansi. Toa sababu za kisayansi kuelezea kupost watsapp inapunguzaje nguvu za kiume. Pia profile pictures na kuwa na marafiki wengi wa kike hazina uhusiano wowote na tatizo la nguvu za kiume. Ninachoona wewe ndo unapaswa kusaidiwa kwa unachopitia. Sijajua unasumbuliwa na nini ila uzi wako unaashiria una majuto fulani.
 
Binafsi nimemute status zoote, huwa siangalii status za watu.

Ila andiko lako ukifuatilia point ya 1&2 kama kuna mtu unamuattack hivi 😆😆😆,
 
Umeandika kwa hisia bila uthibitisho wowote wa kisayansi. Toa sababu za kisayansi kuelezea kupost watsapp inapunguzaje nguvu za kiume. Pia profile pictures na kuwa na marafiki wengi wa kike hazina uhusiano wowote na tatizo la nguvu za kiume. Ninachoona wewe ndo unapaswa kusaidiwa kwa unachopitia. Sijajua unasumbuliwa na nini ila uzi wako unaashiria una majuto fulani.
Sawa
 
Kama ilivyo kawaida. Kwema ndugu zangu wa JF?

Aisee, wanaume wenzangu wanalalamika sana humu ndani, kuhusiana na tatizo la nguvu za kiume, ikiwemo kushindwa kusimamisha uume kwa uimara, au kushindwa kusimamisha kabisa, wawapo faragha.

Mimi siyo daktari, ila kuliko kufaidika mwenyewe kimya kimya na mbinu hii ya kiume, ni bora niitoe kwa wengine. Wengi wanasingizia punyeto. Hapana.

UOGA

Kwa kweli vijana wa sasa ukikutana nao, miongoni mwa vitu utakavyovi-spot from the very first sight, ni UOGA na INSECURITIES, possibly.

Sasa kama vijana ni waoga hata kwa kuwaangalia tu unagundua, vipi kuhusu ujasiri na kujiamini wawapo kitandani na wenza wao?

Vijana wamekuwa na maneno mengi sana mdomoni, kutamba kwingi, ujuaji mwingi, ila wakiwa 'mtu mbili' na watoto wa kike kitandani, ujanja wote kwisha, hali inayopelekea kujichekesha chekesha pasina sababu, kutetemeka na hatimaye kushindwa kusimamisha kwa uimara, au kushindwa kabisa.

Sasa, kutibu tatizo hili, ambalo mainly vijana linawapata kwa sababu ya uoga, kwa kuwa hii ni TIBA ya SAIKOLOJIA, na inaweza kuonekana ni tofauti na mlengi wa kichwa cha mada, hakuna tatizo. Anza kubadilisha mtazamo kwenye vitu vifuatavyo:

1. ACHA ku-post post status WhatsApp kila dakika.
Mtoto wa kiume anza kuishi kiume, HUNA biashara ya msingi, acha ku-post post hovyo status zako WhatsApp za kulia lia, za kuweka vikopa na vingine vinavyofanana na hivyo. Mtoto wa kiume kwa lisaa usha-post updates 50? ACHA.

2. Ipitie profile pic yako WhatsApp na uiangalie.
Kama ina 'kakijana' ka kizungu kameshikana na 'kenzie' ka kike halafu vimegeuka vinaangalia ufukweni, BADILISHA. Kama ina 'kamdoli' ka namna yoyote, BADILISHA. Mfano wa picha upo hapo chini, vijana mnakuwa malofa sana.👇

3. Punguza msururu wa marafiki wa kike ambao huna future nao.
Unakuwa na marafiki 14 wa kike, na huna future nao, wa nini? Mostly, stori mtapiga ni za umbea, kusengenya na kucheka cheka kipuuzi. Cut them off. Uwe na wachache muhimu tu, au usiwe nao kabisa.

4. Acha kuwasikiliza motivational speakers wa dawa za nguvu za kiume.
Acha kabisa. Ukiwasikiliza, utakuwa distracted, utatolewa kwenye reli, utaaminishwa huna nguvu kabisa na ni mbovu, ili uliwe hela zako. Hii ni aina ya MIND CONTROLLING GAME hawa wapuuzi wanaicheza kwa wanaume LOW MINDED (Niliwahi kuzungumzia hili kwenye uzi wangu fulani).

5. Ona kawaida ku-perform poorly.
Ukiona kawaida ku-underperform, itakujengea ujasiri wa kutokuwa na papara na mawenge mawenge uwapo faragha. Itakupa utulivu(mahali ambapo ndipo uamsho wa nguvu za kiume ulipo).
Usikamie show, kuwa kawaida.

6. Ilibidi nile kimya kimya, ila kwa kuwa leo ni Jumapili, acha niwamegee hizo stuffs vijana.
Kula vizuri. Hili halina haja ya kujadiliwa sana, linaimbwa kila siku.
Mkuu umebwabwaja sana bhana, kanywe maji sasa.

Uhanithi ni gonjwa la kisaikolojia zaidi kuliko phissically.

Kupanic na jagoo kushindwa kupanda mtungi ndiyo matokeo ya athari ya ugonjwa huo.

Kusema wasipanic bila kuwaelekeza tiba ya tatizo unakuwa haujawasaidia, wataendelea kupanic na majongoo hayatapanda mitungi kweli.

Hili la 'kukamia' nakubaliana na wewe 100%, wengi wakikwazwa na kujazwa ghadhabu, huishia kukojoa kipumbaf pumbafu mapema sana, wakiamini kukojolea ni kukomoa.

Kumbe wanaume tumetofautiana pakubwa, mimi kukamia huniletea matokeo chanya sana.

Mwanamke anayeniletea nyodo zake kwenye hatua ya kumtongoza, sijui anitukane na kuninyanyasa, ale pesa zangu halafu ajione mjanja kwa kunizungusha, kiukweli lazima nimkamie.

Na siku ya show, 'ukikojozi' nauweka pembeni, naingia kwenye gemu kikazi zaidi kutafuta ushindi kama ule wa mchezo wa riadha wa kurusha mkuki na ni lazima nishinde kwa kurusha umbali mrefu.
 
Mkuu umebwabwaja sana bhana, kanywe maji sasa.

Uhanithi ni gonjwa la kisaikolojia zaidi kuliko phissically.

Kupanic na jagoo kushindwa kupanda mtungi ndiyo matokeo ya athari ya ugonjwa huo.

Kusema wasipanic bila kuwaelekeza tiba ya tatizo unakuwa haujawasaidia, wataendelea kupanic na majongoo hayatapanda mitungi.

Hili la 'kukamia' nakubaliana na wewe 100%, wengi wakikwazwa na kujazwa ghadhabu, huishia kukojoa kipumbaf pumbafu mapema sana, wakiamini kukojolea ni kukomoa.

Kumbe wanaume tumetofautiana pakubwa, mimi kukamia huniletea matokeo chanya sana.

Mwanamke anayeniletea nyodo zake kwenye hatua ya kumtongoza, anitukane na kuninyanyasa, ale pesa zangu halafu ajione mjanja kwa kunizungusha, kiukweli lazima nimkamie.

Na siku ya show, 'ukikojozi' nauweka pembeni, naingia kwenye gemu kikazi zaidi kutafuta ushindi kama ule wa mchezo wa riadha wa kurusha mkuki na ni lazima nishinde.
🙌
 
Back
Top Bottom