Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Sasa unataka wakutafute bila sababu ya msingi ??Yaani natumika sana na watu wanaokuwa na ukaribu na mimi wakihitaji msaada wa kifedha au kihisia
Kwa sasa naweza sema ukiacha ndugu zangu, watu wote waliobaki wana ji attach kwangu tuu wakiwa na shida. Kuna mmoja yakimkuta kwa siku utapokea simu zaidi ya kumi, kila mara, akishatatua shida yake anapotea.
Wengine pia ndio hivyo, mtu akiwa na shida ndo anakutafuta. Kuwaambia sina wanapoomba ndiyo siwezi
Hii circle ya watu wa aina hii niko nayo mimi tuu au hata nyinyi?
Yani mtu akusumbue kukupigia simu halafu akwambie tu "nilikuwa nakusalimia" si ndio hivyo unavyotaka au?