Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kuotaNice Kafrican
But it's important to note that wen kenya took NEP kismayu was initially kenyan territory... After defeat of the Italians in the second world war we gave them British Somalia upto kismayu and they gave us 100miles from Wajir to Elwak
.
.
.
But kilimanjaro was given as a gift for a wedding to German East Africa..... They didn't do a thing!!!
Wewe unajua kuwaMOTOCHINI hapo naiona Mara river.....
Hapo masai mara please Tanzanians stop posting kenyan pictures and branding them Tanzania..... It's not
Haya msumenoweka Gombe, Mahale national packs, usisahau na ZNZ mhhhh mbona Ruaha , Katavi, Seluous ........ hahahaha nyingi sana bwana
Kaka bado nakupa maraha ya Gombe na mahaleweka Gombe, Mahale national packs, usisahau na ZNZ mhhhh mbona Ruaha , Katavi, Seluous ........ hahahaha nyingi sana bwana
Hahaha!Wewe umeanza uchokozi naona,sehemu ya Kenya alikotoka samm999 huwa hawaambiwi umekunywa chang'aa wewe!Eti ndo unajaribu kumwambia changaa imefanya achanganyikiwe?Hawa ndungu zetu kule kisii chang'aa ni kama uji tu!Hawalewi kwa chang'aa hawa!Sijui ni vyakula wanavokula,kisii ni ndizi kaunti,wanavuna sana,vyakula vya kiasili kwa wingi!Au sijui ni kwasababu wengi wao ni mijitu mikubwa,kimwili yaani.Ha!Umekunywa chang'aa wewe
Hahaha unawapa ujikoHahaha!Wewe umeanza uchokozi naona,sehemu ya Kenya alikotoka samm999 huwa hawaambiwi umekunywa chang'aa wewe!Eti ndo unajaribu kumwambia changaa imefanya achanganyikiwe?Hawa ndungu zetu kule kisii chang'aa ni kama uji tu!Hawalewi kwa chang'aa hawa!Sijui ni vyakula wanavokula,kisii ni ndizi kaunti,wanavuna sana,vyakula vya kiasili kwa wingi!Au sijui ni kwasababu wengi wao ni mijitu mikubwa,kimwili yaani.Ha!
Leo umemjibu kwa upole kuna usalamaUmekunywa chang'aa wewe