MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Huyo Utoto unamsumbua
Nimeamua kuandika na jina la hifadhi ili atoe ushahidi wake
Au aka Google ajue kuwa
Tanzania nia ndio Nyumbani kwa Neema za mungu Ea
Kwalipi mpaka kupost picha za Kenya
Ikiwa Tanzania huwezi kuzimaliza
Kila mkoa una vivutio vingi