Natural Attractions in Kenya and Tanzania

If am not mistaken, Tsavo National park (east and west)has the highest number of Elephants in one park than any other park in Kenya numbering 11,000! in 2015

 
Look at Mt.Kilimanjaro on the map, Am not the kind to claim yesterdays news but aki ya nani! this was deliberate (the same way the Brits gave us north eastern Kenya along the Somali border). But I cant really complain, if I do then Somali will also want back their part, Uganda will want back their chunk, South Sudan will also demand back the ilemi triangle which BTW is legitimately theirs, we will be left the a country that looks like a thin hour glass
 
Nice Kafrican

But it's important to note that wen kenya took NEP kismayu was initially kenyan territory... After defeat of the Italians in the second world war we gave them British Somalia upto kismayu and they gave us 100miles from Wajir to Elwak
.
.
.
But kilimanjaro was given as a gift for a wedding to German East Africa..... They didn't do a thing!!!
 
Endeleeni kuota
Mjichanganye kama Uganda kuhusu migingo muone choto

Wazungu wakifurahia uzuri wa Tanzania karibuni tena


Jamaa hawa amini kama
Hawa ni samaki wa kisiwa cha Mafia Tanzania
Karibuni Tena
 
MOTOCHINI hapo naiona Mara river.....

Hapo masai mara please Tanzanians stop posting kenyan pictures and branding them Tanzania..... It's not
Wewe unajua kuwa
Tanzania ndio nchi yenye mito mingi na mizuri East A.

Tanzania kuna maziwa 7
Na flamingo Wapo kama kawa

Ziwa Manyara


Viboko wakifurahia kuishi Tanzania


Ngorongoro Tanzania patamu du!


Kumbe kuna Zanzibar Tanzania


Tanzania mito mizuri maji yana poromoka muda woote
Vilima vya Udzungwa


Tanzania Tanzania mungu alikupa kila kitu
Na ndio maana wengi wanasafiria Nyota yako
Hahahaha
 
weka Gombe, Mahale national packs, usisahau na ZNZ mhhhh mbona Ruaha , Katavi, Seluous ........ hahahaha nyingi sana bwana
Kaka bado nakupa maraha ya Gombe na mahale
Kigomaaaaaa

Mzungu anatamani kuishi Tanzania ili afurahi pamoja na Sokwe hahaha
tumix kidogo


Jivunie kuwa Mtanzania

Et #foundInKenya
Nyoko nyoko
 
Umekunywa chang'aa wewe
Hahaha!Wewe umeanza uchokozi naona,sehemu ya Kenya alikotoka samm999 huwa hawaambiwi umekunywa chang'aa wewe!Eti ndo unajaribu kumwambia changaa imefanya achanganyikiwe?Hawa ndungu zetu kule kisii chang'aa ni kama uji tu!Hawalewi kwa chang'aa hawa!Sijui ni vyakula wanavokula,kisii ni ndizi kaunti,wanavuna sana,vyakula vya kiasili kwa wingi!Au sijui ni kwasababu wengi wao ni mijitu mikubwa,kimwili yaani.Ha!
 
Hahaha unawapa ujiko
Mikubwa kimwili wapi
Huyo Samm999 nimdogo kama PILITONI asikutishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…