Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha washambulie
Kwenye picha 500 nimebakiza kama 420 za wanyamaTanzania tuna sehemu nyingi mno zakuvutia
Mungu alitupendelea kwakweli
Hayo niyakwakokweli tumepanic ,nahisi wivu sana
endelea kueka picha tuhisi wivu zaidi.
heh heh
eka basi ,Hayo niyakwako
Tuna weka na Tutaweka
Hakuna ugomvi nipicha tueka basi ,
sina shida nazo , weka tuone.
Hapo ndio nakubaliana na wewe. 'Twasafiria nyota ya jirani' mpaka tukapata maendeleo yenye tuna shuhudia kama: Ujenzi wa miundo mbinu zikiwemo bara bara za kisasa, reli, usambazaji wa stima hadi vijijini, bandari na kadhalika, sawa?Hakuna ugomvi nipicha tu
Mpoje nyie
Mbona huwa tunawaacha mnaweke zenu hatufanyi Majungu Majungu
Kimewauma nini!!
Mnadhani Kenya MNA kila kitu hehehe
Bwana nyie mnasafiria Nyota ya jirani
Kuna nchi gani sasa hivi hawana miradi kama hiyo!!Hapo ndio nakubaliana na wewe. 'Twasafiria nyota ya jirani' mpaka tukapata maendeleo yenye tuna shuhudia kama: Ujenzi wa miundo mbinu zikiwemo bara bara za kisasa, reli, usambazaji wa stima hadi vijijini, bandari na kadhalika, sawa?
Kuna nchi gani sasa hivi hawana miradi kama hiyo!!
Hehehe kweli nyie maboya
Akili zenu zinawatuma mnafanya nyie tu kwingineko wamelala
Tunawambia mnasafiria Nyota ya TANZANIA kwa mudamlefu sasa
Lakini tumeanza kuwaumbua
Na mpaka sasa tunapokea Watalii wengi zaidi yenu
Kitu ambacho ilikuwa ngumu
Mapato yatokanayo Na utalii yana ongezeka TANZANIA Kenya yakishuka.
Tuna weka picha Na video
Maana mlidanganya Dunia sana vingi vya Tanzania ni kutoka Kenya
Bado hujanijibu chochote. Dhibitisha ya kuwa tunasafiria nyota ya majirani. Tena suala halikuwa ni wapi maendeleo yanafanyika na wapi hayatendeki. Mimi sijasema hakuna chochote kinaendele kwenyu. Nilitaka kukuweka sawa kuhusu baadhi ya miradi ambayo twafanya kwa gharama na juhudi zetu. Hebu nikuulize!, Nyinyi ndio mlijenga Mt Kilimanjaro? na hizo mbuga za wanyama?. Licha ya kuwa hii ni mali asilia ambayo haijafanyika kwa uwezo wa binadamu na bado hamuitumii ipasavyo. Pamoja na mabomu ya Al-shabaab bado twajizatiti. Ulitegemea tuwashinde kiutalii kwa hiyo hali ngumu? Yaani umenichekesha hadi mbavu kuuma, unajidai kuwa mshindi wa ndondi dhidi ya mpinzani aliyefungwa mikono? Maajabuuuu!.Kuna nchi gani sasa hivi hawana miradi kama hiyo!!
Hehehe kweli nyie maboya
Akili zenu zinawatuma mnafanya nyie tu kwingineko wamelala
Tunawambia mnasafiria Nyota ya TANZANIA kwa mudamlefu sasa
Lakini tumeanza kuwaumbua
Na mpaka sasa tunapokea Watalii wengi zaidi yenu
Kitu ambacho ilikuwa ngumu
Mapato yatokanayo Na utalii yana ongezeka TANZANIA Kenya yakishuka.
Tuna weka picha Na video
Maana mlidanganya Dunia sana vingi vya Tanzania ni kutoka Kenya