Natural Attractions in Kenya and Tanzania

Natural Attractions in Kenya and Tanzania

Manyara
TANZANIA
eda59b606ee9a483497e40436a31b933.jpg
9ae43106bd662d3f475ace034eea2803.jpg
 
Mkuu Motochini ujue Tanzania ni Kama bustani ya Eden,...
Thanks God kwa kunipa Neema ya pekee kuzaliwa Tanzania.
 
MOTOCHINI
Unaugomvi na Wakenya!?
Hahaha maana naona wanakushambulia kulikoni
Acha washambulie
Tokalini Mimi na wakenya zikapikwa pamoja Never

Watanishambulia Leo kesho hadi keshokutwa
Mimi ukizidi kunishambulia ndio kwanza nakazana
Niheri upotezee
 
Hahaha mnaelekea kubaya sasa
Maana naona Wakenya wanapanic
Mtu mwenyewe mmoja MOTOCHINI
Sivituko
 
kweli tumepanic ,nahisi wivu sana
endelea kueka picha tuhisi wivu zaidi.

heh heh
 
eka basi ,
sina shida nazo , weka tuone.
Hakuna ugomvi nipicha tu
Mpoje nyie
Mbona huwa tunawaacha mnaweke zenu hatufanyi Majungu Majungu
Kimewauma nini!!
Mnadhani Kenya MNA kila kitu hehehe
Bwana nyie mnasafiria Nyota ya jirani
 
Hakuna ugomvi nipicha tu
Mpoje nyie
Mbona huwa tunawaacha mnaweke zenu hatufanyi Majungu Majungu
Kimewauma nini!!
Mnadhani Kenya MNA kila kitu hehehe
Bwana nyie mnasafiria Nyota ya jirani
Hapo ndio nakubaliana na wewe. 'Twasafiria nyota ya jirani' mpaka tukapata maendeleo yenye tuna shuhudia kama: Ujenzi wa miundo mbinu zikiwemo bara bara za kisasa, reli, usambazaji wa stima hadi vijijini, bandari na kadhalika, sawa?
 
MOTOCHINI weka zingine...... Mzungu anajua tanzania ni Kenya tu..... Weka.... Tunataka waje Kwa wingi.... Umeingia IG Btw??
 
Hapo ndio nakubaliana na wewe. 'Twasafiria nyota ya jirani' mpaka tukapata maendeleo yenye tuna shuhudia kama: Ujenzi wa miundo mbinu zikiwemo bara bara za kisasa, reli, usambazaji wa stima hadi vijijini, bandari na kadhalika, sawa?
Kuna nchi gani sasa hivi hawana miradi kama hiyo!!
Hehehe kweli nyie maboya
Akili zenu zinawatuma mnafanya nyie tu kwingineko wamelala

Tunawambia mnasafiria Nyota ya TANZANIA kwa mudamlefu sasa
Lakini tumeanza kuwaumbua
Na mpaka sasa tunapokea Watalii wengi zaidi yenu
Kitu ambacho ilikuwa ngumu

Mapato yatokanayo Na utalii yana ongezeka TANZANIA Kenya yakishuka.

Tuna weka picha Na video
Maana mlidanganya Dunia sana vingi vya Tanzania ni kutoka Kenya
 
Bado hujanijibu chochote. Dhibitisha ya kuwa tunasafiria nyota ya majirani. Tena suala halikuwa ni wapi maendeleo yanafanyika na wapi hayatendeki. Mimi sijasema hakuna chochote kinaendele kwenyu. Nilitaka kukuweka sawa kuhusu baadhi ya miradi ambayo twafanya kwa gharama na juhudi zetu. Hebu nikuulize!, Nyinyi ndio mlijenga Mt Kilimanjaro? na hizo mbuga za wanyama?. Licha ya kuwa hii ni mali asilia ambayo haijafanyika kwa uwezo wa binadamu na bado hamuitumii ipasavyo. Pamoja na mabomu ya Al-shabaab bado twajizatiti. Ulitegemea tuwashinde kiutalii kwa hiyo hali ngumu? Yaani umenichekesha hadi mbavu kuuma, unajidai kuwa mshindi wa ndondi dhidi ya mpinzani aliyefungwa mikono? Maajabuuuu!.
 
Mkuu hizi picha nzuri zingekuwa hata na signature ya Tanapa au yoyote ya tz ili ziwe zinajieleza zenyewe na wageni wasizitumie kama zao.Hio sign iwe kwenye form ya decoration.Big up.
 
Back
Top Bottom