Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Itakuwa uliwahi kuwa montress naona damu yako bado ina mbwembwe ya kutuandika wasumbufuNaandika wasumbufu
NakujaUkipata mda njo uzi wa asubuhi ucheke kidogo
Kumbe mrithi wa shekhe yahaya upo humu.
Poa poaNakusaidia kuwakusanya
Mondray ni mtoto wa mama angu mdogo,ni mdogo wangu kabisa yuleBas sawa kumbe ni kaka zako ao kina Mondray.....
Mtakula interview ikiisha[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hivyo leo jioni hatuli. [emoji23] [emoji23]
Huyu jamaa ni mtaalam sana,yaani yeye anatupia ua mambo ya kuongea kwa vitendo tu!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Taratibu mkuu.
Umeanza kuwa mganga toka lini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utabiri interview itaishia njiani napo ni saa tano usiku
Uzi utajaaa comments za watu kuzidi za mgeni rasmi. Ubuyu utakosekana baada ya otieno kuibuka
Inawezekana kichwaNimesikia uzi una miguu mitatu si miwili.
kwa unaefuatilia kila umbea utakoma!!Mbona pages zimekimbia hivyo jamanii
Umeanza kuwa mganga toka lini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una akili kweeeliItakuwa uliwahi kuwa montress naona damu yako bado ina mbwembwe ya kutuandika wasumbufu
Bebe rafiki naomba nikufanyie interview,mi ninao vyura wa kutoshakama huna chura hutakiwi hapa Inna!
Mie now nina22 shem nae 25 then mim wa kilimanjaro! But kwa sasa npo arushaShem ana miaka mingapi!
Umezaliwa wapi una umri gani
Kwa sasa unaishi wapi bibie?
DJ sepetu
Endeleza libenekeFent font kabisaa
Kama una id ya ke nitakuwa nimekujia pm, kama huna huu ni umbea tu[emoji41]Mtaalam wa pm upo?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unapenda chura kama wachina, unakulaga nini!!kama huna chura hutakiwi hapa Inna!
Mi nataka utulie kwangu tu
Mi ndo nakupenda sana kuliko hao kina vale