Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Baby mbona wewe numbisa,paprika,naniliu,naniliu imefika hadi valentina umeanza kumpendaSimu moja laini kibaao.Gentry, muosha,Q,Niyomb,hee jamani nafwaa..mie
Nina moyo ujue...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby mbona wewe numbisa,paprika,naniliu,naniliu imefika hadi valentina umeanza kumpendaSimu moja laini kibaao.Gentry, muosha,Q,Niyomb,hee jamani nafwaa..mie
Npo kabsa poa habar???Welcome how are you
DJ sepetu
Asante laaziz wangu..Ondoa shaka wa uvungu wa moyo wang.
Kabisa yaani na alisema anakusubiri na wewe siku ujaribu ndio utamjua vizuri mana hapatakalika.Kama mimi manake maswali ya muosha rungu wetu ni ya kufukuzwa nyumbani kabisaaa
Heri maana nimekuwa kuku sana hivi karibu baada ya kuona bundi wanatumika sana na mshana jr ktk shughuli zake[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nko poa nimeona nikutafute mchana tu mana tunapishana sikuhz
Namuelewa sana twinnieKabisa yaani na alisema anakusubiri na wewe siku ujaribu ndio utamjua vizuri mana hapatakalika.
Na si unamjua mzee zake. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona bado sijapata perfect match[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umempata nani sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ile bonge limeondoka eeh
Nimekuja mapema kushika siti nikaenda kuzima mkaaSie tumefika kitambo sana hapa. Tukaona muhusika hayupo,ikabidi tuanze kupiga soga wenyewe kwa wenyewe
Kweli kabisa pacha. Naona ameshawasili mgeni wetu wacha tupate mawili matatu sasa. Lo. [emoji23] [emoji23]Namuelewa sana twinnie
Tusijaribu kujihusisha na hizi intaviuu
Hebu acha nani kasema mke wa mtu.Mke wa mtu huyo wewe au nim cc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo interview imeanza mkuu??[emoji32][emoji32][emoji32]Kwann unajiita kichwa kichafu
DJ sepetu
Dah nisha athirika kisaikolojia.Asante laaziz wangu..
Ukipata mda njo uzi wa asubuhi ucheke kidogoNimekuja mapema kushika siti nikaenda kuzima mkaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shkamoo msela
Nakusaidia kuwakusanyaNaandika wasumbufu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Nimekuja mapema kushika siti nikaenda kuzima mkaa